ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
nashukuru kwa kunielewesha..LORDVILLE pole sana ndugu yangu. Hii ni "unhandled exception" na inatokea pale program inapofeli
kufanya kitu ambacho imeelekezwa kwa mfano ESE Dictionary imeelekezwa kusoma file ambayo
ipo katika location fulani sasa isipolikuta hilo file ndo unapata error kama hiyo.
yan ilitokea soon baada ya kuinstall...nlipoweka neno la kwanza la pili ikaanza niletea hiyo error..ulifanikiwa kutumia ESE Dictionary mwanzoni bila matatizo?
soon baada ya kuanza itumia..hii error inatokea muda gani? pale program inapoanza au katikati ukiwa unatumia
hapa natumia windows 8 enteprise x64 bit..unatumia Windows gani (your system information)