Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Hongera Nyasiro,

Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:

KAMUSI-PROPOSAL-2a.jpg

Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.
 
Attachments

  • KAMUSI-PROPOSAL-1.jpg
    KAMUSI-PROPOSAL-1.jpg
    49.5 KB · Views: 87
I wish I had a windows laptop to enjoy this, hongera wakuu... Looking forward to a Linux port
 
Hongera Nyasiro,

Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:

View attachment 128973

Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.

mimi nimependa muonekano huo....
ila mimi pia nna doubt kama muonekano huo unaweza kuwa implemented? kama nyasiro anaweza kuprogram something like that in later version upande wa graphics itakuwa Dopeeee
 
Kama ataweza kutumia Web Component somewho anaweza implement kwa HTML/CSS/JS
 
i succeeded to download it let me test then i will give feed back

Karibu sana kaka. Nasubiri feedback!

I downloaded It, Iko poa sana. Ila wacha niwe kama Steven Jobs, function naona ziko sawa kote, ishu inabaki kwenye muonekano na mpangilio wa content.

Kwa sasa muonekano uko basic, naamini katika version inayofuata walau utarekebisha mpangilio wa content, mfano mzuri ni page ya "Software Information"

Nitaandaa Mtazamo wangu katika picha na kukutumia kwa email. Jinsi unavyoweza pangilia na kuweka mabadiliko yatayo leta mvuto zaidi.

Big up Nyasiro

Ok karibu sana nasubiri nione idea yako.
 
Thanks.

Hongera Nyasiro,

Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:

View attachment 128973

Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.

Daaaahhh! hapo kwenye RED sijakuelewa Magembe R. Malima sio siri umetisha asante sana kwa idea yako tutawasiliana nione nafanyaje pamoja na dizaina wangu Joe Nyandigira

mimi nimependa muonekano huo....
ila mimi pia nna doubt kama muonekano huo unaweza kuwa implemented? kama nyasiro anaweza kuprogram something like that in later version upande wa graphics itakuwa Dopeeee

Hakuna kinachoshindikana kaka.

hongera kamanda umejitahidi sana hadi hapa keep it up broo

Asante...

Kama ataweza kutumia Web Component somewho anaweza implement kwa HTML/CSS/JS

Ooops. Hapo ntajitahidi nikwepe espeshali JS.
Unajua kwa sasa napata tabu ya kupostion kila element kulingana na size ya windows.
I'll see what I can do.
 
GOOD NEWS: ESE Dictionary sasa inapatika kupitia softpedia.com ESE Dictionary Free Download

cc C++

unaweza kufanya ratings na review. please shared news with your friends.

BAD NEWS: Kwa sasa nasumbuliwa na matatizo ya macho leo nlikuwa CCBRT wakanipima nikaambiwa nipewe miwani. lilipokuja swala la kulipia miwani nikakimbia manake nlijua NHIF inahusika kumbe hamana kitu. So nikipata miwani ntajaribu kufanyia kazi kila kinachosemwa.
 
hongera, ila kuna baadhi ya weakness nimeziexperience kwa harakaharaka, mfano baadhi ya maneno maana zake hazionekani. kwa mfano neno joy ,original, pia kuna baadhi ya maneno yana miss ambayo ni key wors
ila iko vizuri baadhi ya sehemu kwa mfano ina respond vizuri japo haiko fasta
 
FREDRICK IHEMBE nimeangalia neno joy nimepata maana 14

Capture.PNG

bofya kwenye hiyo mishale kuangalia maana inayofuata au ya nyuma. pia unaweza kutumia keyboard(left/right arrow keys) au gurudumu la mouse.

swala la maneno kumiss mimi sihusiki nalo. mimi sijatoa maana hata moja. tafadhali jaribu kupitia maelezo kwenye kipengele cha "about" na pitia kile kipengele cha "help" kinaonesha kila kitu.
 
Hongera Nyasiro,

Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:

View attachment 128973

Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.
what a grafix sir umetisha mbaya..
 
Daaaahhh! hapo kwenye RED sijakuelewa Magembe R. Malima sio siri umetisha asante sana kwa idea yako tutawasiliana nione nafanyaje pamoja na dizaina wangu Joe Nyandigira

Namaanisha kuna software ambazo hazina option ya kuzimaximize, mfano calculator ya Ms Windows (natumia Windows 8) huwezi kuifanya ikajaa screen yote, ina maintain size fulani.

Katika software yako nisipoi-maximize naona kulia kuna www nyasiro dot com ila nikii-maxiimize web link hiyo inapotea. Lakini hasa nilichokuwa nazungumzia ni kuwa hii interface niliyoleta hapa ni bitmap image/pixel na si vector hivyo kama nimeidesign kwa resolution fulani mtu akii-maximize inapoteza quality, ndiyo maana nikasema idea yangu ni ya graphics designer na si programmer.
 
Okey nimekuelewa lakini bado nashangaa kwa nini uki-maximizi www dot nyasiro dot com inapotea. Unaweza kunipa screenshot nione inavyotokea na screen resolution yako ni ? * ?

Kama nikitaka kuapply hii design yako inakuwa ngumu kutumia BMP iliyoweka hapa. Kama hutojali unaweza ukatoa PSD ambayo itapitiwa na lead designer Joe Nyandigira then tunaiweka. Hii idea ya kutokuwa MAXIMIZED tunaweza kuijadili kwa kina manake hata mimi iliniumiza kichwa mwanzoni.
 
GOOD NEWS: ESE Dictionary sasa inapatika kupitia softpedia.com ESE Dictionary Free Download cc C++

unaweza kufanya ratings na review. please shared news with your friends.

BAD NEWS: Kwa sasa nasumbuliwa na matatizo ya macho.
.
sina mengi sana mkuu zaidi ya hongera na shukrani kubwa kwa kuniwezesha kutumia dictionary bila FIREFOX
.
Pia nakupa POLE SANA kwa matatizo ya macho uliyo yapata pole sana Nyasiro mungu yu pamoja nawe kaka..
 
Last edited by a moderator:
FREDRICK IHEMBE nimeangalia neno joy nimepata maana 14

View attachment 128990

bofya kwenye hiyo mishale kuangalia maana inayofuata au ya nyuma. pia unaweza kutumia keyboard(left/right arrow keys) au gurudumu la mouse.

swala la maneno kumiss mimi sihusiki nalo. mimi sijatoa maana hata moja. tafadhali jaribu kupitia maelezo kwenye kipengele cha "about" na pitia kile kipengele cha "help" kinaonesha kila kitu.

sawa mkuu naendelea kupitia then ntatoa feedback
 
Back
Top Bottom