Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

AlP0L0 na wengine wote sasa mnaweza kudownload tatizo limeisha.
 
Last edited by a moderator:
Habari,
Muda sio mrefu ntaanza kushughulikia update ya hii kamusi. Kama hujapata nakala yako unaweza kudownload kupitia: ESE Dictionary Free Download

Katika toleo linalokuja natarajia kufanya mabadiliko yafuatayo:

BUG FIXES

* Detects a new version when there is not
* Tatizo la wickerman
* Slow navigation
* Some unhandled exeption caused mainly by database connectivity


FEATURES & UPDATES


* Clipboard monitoring
* All dictionary meaning should appear in a single page
* Multilanguage Interface support (Kiswahili na Kingereza)
* Send to Tray
* Copy results
* Phonetic transcription
* GUI
* Redesingned Not found page alert

CROSS-PLATFORM

* Port to Linux, Android, Windows Phone, Windows RT, iOS & Mac OS X
Hapa natarajia kutumia MonoGame | Write Once, Play Everywhere
(Hamna uhakika kama itawezekana katika platform zote hizo)

==========
Mawazo hayo nimeyakusanya kutoka kwenye hii thread na kupitia: Hosanna HigherTech Forums - ESE Dictionary
kama kuna kitu nimekisahau au ungependa kiwepo basi kiwasilishe kabla kazi haijaanza.

Mawazo na feature zilizoanishwa hapo zitaongezwa kwa kadri ya uwezo wangu sio kila kilichoandikwa kitakuwepo.
 
Currently nakamilisha redesigned look and feel. Also naandaa help file Nyasiro nitafute baadae...

One thing to Nyasiro as advice kama wanaweza kujitokeza watu wengine wenye uwezo wa kuport kwenye os zingine wasaidie instead of kila kitu kufanya mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
One thing to Nyasiro as advice kama wanaweza kujitokeza watu wengine wenye uwezo wa kuport kwenye os zingine wasaidie instead of kila kitu kufanya mwenyewe

Hiyo inakuwa ngumu amin haiwezekani. kwenye reply #70 ya hii thread nilitoa guide kidogoo kwa devs wanaotaka kutengeneza Kamusi kama hii (pitia uone). Muongozo huo hautamsaidia mtu moja kwa moja bali utampa mwanga wapi pa kuanzia.

Nimetoa link ya kupata database
Nimetoa na link ya software nyingine za muhimu.

Kama mtu anataka kufanya kamusi kama hii kwa kutumia programming language ya upendeleo wake anaweza kutafuta documentation jinsi ya kutumia SQLite kwenye language husika.

Kwa kuanzia mimi ntajaribu kufanya porting ya Android. Sitafanya iOS kwa sababu ntahitajika kuwa na Mac pia ntahitajika kulipia developer account.
 
Last edited by a moderator:
Umetisha mkuu.
Tutakuchangia, tutakapo pata nafasi, kazi nzuri.
 
Ahsante, karibu sana mkuu. Tafurahi kupata mchango wako.
 
Nyasiro Whats happening siwezi kudownload hii dictionary yako?????????? Capture.JPG
This is What I can see msaada please.
 
Last edited by a moderator:
Nyasiro Whats happening siwezi kudownload hii dictionary yako??????????
This is What I can see msaada please.

Pole sana davidson689
Unachokiona kinamaanisha kuwa domain name (nyasiro.com) ime expire. Natakiwa niilipie tena ili irudi hewani ndiyo mambo yote yataenda sawa. Ntafanya malipo hayo nikipata pesa ila siwezi kuahidi ni lini. Labda wadau wanaweza kushare setup zao kama wanazo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom