Into the Badlands

Into the Badlands

Series nzuri ila wameshindwa kuimaliza, wanaipeleka pupa. Ila moto wa Widow sio wa nchi hii.

Any way, mimi nasubiri iishe yote ndio nitafute season 3 yote maana nimeona kwa kukatisha katisha sana
 
Mbona ishaisha.

Bora season 1, kuliko so3.Amc wanabidi biashara yao iishie kwenye season 3, wasiendelee tena na season 4.
 
Ni kweli i see ukiangalia episode 13 na 14 za season 3 ni kama walitengeneza matukio tu ambayo hayakuwa na connection yoyote....
 
Episode 16

Sunny, pilgrim wameuana
tilda kauliwa na mk
MK kauliwa na the widow
lakini mke wa pilgrim ametoroka
kuna clipper mmoja wa dark army alibaki hai
mtoto wa sunny yupo

sidhani kama yaweza kuwa mwisho japo inaonesha ni series finale
 
taandaa season 4...kutakuwa na comeback ya Crusade na yule clipper...naona kama kuna connection ya ile revolver aliyoiokota....
 
you got my point, series haiwezi kuisha vile, lazima kuna muendelezo, revenge inakuja, na yule mama aliyekimbia, maisha ya mtoto wa sunny
 
Widow pia atapata mtoto,,defence na mazingira ya kukua huyo mtoto
 
Into-The-Badlands-Season-4.jpg
 
Back
Top Bottom