Hivi awajatoa episode ya 16 mkuu au ndio tusikilizie season 4?Wajameni wafuatiliaji wa hii series tumefika season 3 episode ya 15, Vipi tunadhani Sunny,Bajie,Widow wataweza kumpiga Pilgrim na jeshi lake?,,,alafu kama hii itakuwa season ya mwisho hivi!
Imeishi kwenyewe sana ..kwahyo next week sio week hii mkuu maana episode 15 ilitoka week iliyopita jtatu.Hii iliyobaki inaweza kuwa ya mwisho
Hii iliyobaki inaweza kuwa ya mwisho
17 episode ndo ya mwisho kama sijakosea
Ila hii kitu ni kikali sana
Unacheki hapo series finale,episode ya 16.Bado Crusade hajamuonyesha Pilgrim kuwa atamgeuka baada ya kuona future, dadaake sunny bado hajamfungua sunny nguvu zaw..kama scene zote sikipangwa kwenye episode moja ya 16 series inaisha ila possible 17
Asante GoppiiUnacheki hapo series finale,episode ya 16.View attachment 1090117
Asante Goppii
Kuna hii picha nimeiona katika kupekenyua,labda atarudi upande wa akina Sun na Widow.Tunadhani mwisho wa MK ni upi?
bado mzee,,,labda watatoa wiki hii