Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,935
- 20,193
Manchester ya kwenu Bunju labdamwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u
Manchester ya kwenu Bunju labdamwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u
mwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u
Msaidie kwenda FIFA au kortini.MIJIZI NA MIDHULUMATI NYIE.MPENI PESA ZAKE.DANTE NAYE MNATAKA KUMZIMA PESA ZAKE.MRUDISHIENI PESA ZAKE MAJAMBAWAZI MAKUBWA NYIE.MTU KAISAIDIA TEAM SASA MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE.😁😁😁😁😁😁😁😁😁
YANGA na CCM kitu kimoja, unachoona Yanga kipo CCM.Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini ni kweli.
Zahera amesema kuna wakati Mwenyekiti anamuingilia kwenye majukumu yake na akatolea mfano game ya Lipuli dhidi ya Yanga iliyochezwa Iringa, kwamba wakati wameenda dressing room mwenyekiti wa sasa wa Yanga aliingia naye na kutoa maelezo namna gani ya kucheza as if yeye ni kocha, suala ambalo liliwashangaza wachezaji.
Mambo mengine aliyofunguka Zahera ni kugusia maandalizi before ya game inakuawaje Yanga n.k
NB: Kiukweli ameongea mambo mengi sana. Siwezi kuweka mambo yote hapa lakini Zahera amenipa picha halisi ya soka la Tanzania behind the scene.
mwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u
Mbona hakuongea siku zote anaongea saivi?
MENGI amesema lini ??na wapi ??Alichokiongea mengi ni sahihi...Mbona Yanga haichezi soka zuri hata kabla ya Dr Msola hajawa mwenyekiti?
Kwahiyo hata usajili wa wachezaji wa kimataifa ni Dr Msola amewapendekeza...
Aaah hakuna kocha mle ni dalali tu..
Hakuongea au hukumwelewa?? Unafikiri alivyolia kule mbeya alipohojiwa unafikiri alikuwa analia kwanini?? See things in third eye man!Mbona hakuongea siku zote anaongea saivi?
Mkuu hata alie, hata afanye mahojiano kwenye kila media na aseme mabaya ya Yanga hiyo aifichi ukweli kwamba kafukuzwa Yanga na litabaki hivo.Hakuongea au hukumwelewa?? Unafikiri alivyolia kule mbeya alipohojiwa unafikiri alikuwa analia kwanini?? See things in third eye man!
Kwani kufukuzwa ni kitu cha ajabu. watu wanaongelea hali halisi inayorudisha soka letu nyuma kwa ujumla wewe unashikilia kufukuzwa utadhani angekaa hapo milele.Mkuu hata alie, hata afanye mahojiano kwenye kila media na aseme mabaya ya Yanga hiyo aifichi ukweli kwamba kafukuzwa Yanga na litabaki hivo.
Professional coach hawezi kulia kwa kupata matokeo ambayo hakutarajia,anaeleza sababu ya kupoteza kiufundi na way forward,tangu kilio kile nilianza kumdoubt sana.Post match interviews za Zahera ni malalamiko tu na Si technical aspectsHakuongea au hukumwelewa?? Unafikiri alivyolia kule mbeya alipohojiwa unafikiri alikuwa analia kwanini?? See things in third eye man!
Kwahiyo unataka kusemaje kwamba kufukuzwa kwake kunatudisha soka nyuma?Kwani kufukuzwa ni kitu cha ajabu. watu wanaongelea hali halisi inayorudisha soka letu nyuma kwa ujumla wewe unashikilia kufukuzwa utadhani angekaa hapo milele.
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini ni kweli.
Zahera amesema kuna wakati Mwenyekiti anamuingilia kwenye majukumu yake na akatolea mfano game ya Lipuli dhidi ya Yanga iliyochezwa Iringa, kwamba wakati wameenda dressing room mwenyekiti wa sasa wa Yanga aliingia naye na kutoa maelezo namna gani ya kucheza as if yeye ni kocha, suala ambalo liliwashangaza wachezaji.
Mambo mengine aliyofunguka Zahera ni kugusia maandalizi before ya game inakuawaje Yanga n.k
NB: Kiukweli ameongea mambo mengi sana. Siwezi kuweka mambo yote hapa lakini Zahera amenipa picha halisi ya soka la Tanzania behind the scene.
Ferguson hajalazimisha anaombwa tena siopekeake kuhamasisha wachezaji nk,hao anaolalamika zahera kachaguliwa na nani ili afanye huo utaratibumwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u