Mwanahabari na Mchambuzi wa Soka nchini Saleh Ally ( Salehe Jembe ) ana maana gani kuweka hii taarifa na Picha ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Kichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".

Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?

Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
 
Yanga mlikosea sana kutokumuomba Rais wa South alipokuwa nchini kwenye mambo yake ya SADC ili akawafanyie robbing kwa Township rollers waweze kuwaonea huruma msitolewa round ya kwanza tu.

Sasa onyesheni huo ubingwa wenu wa kihistoria.
 
Kwani iyo picha iko wako
Au unatunga story
 
Hiyo picha niya Zahera kweli au imeeditiwa.?... Kama ni yake tatizo nini?
Ulitaka aweke ya nani?
Zahera ni kocha na habari inahusu makocha taabu iko wapi?
 
Na Wewe ni lini umenza kuwa Juha hivi? Swali lipo wazi tu na linahitaji Logic kubwa kulielewa kwamba ni kwanini Makocha wapo wengi lakini Yeye aliyemuona ni Zahera? Hivi ukiwa mfuatiliaji wa mambo hujawahi Kusikia sehemu mbalimbali kuwa Watu wanalalamika hadi Kuponda aina ya Uvaaji wa Kishamba na wa kurudia rudia tu Nguo yake hiyo hiyo? Hivi ukiwa na Akili za Kutosha huwezi kujua kuwa hapo Mwandishi huyo amemtumia Zahera kama mfano hai wa hiyo Hoja / Taarifa yake? Huko Mashuleni na Vyuoni huwa mnaenda Kufanya nini kama hamna Akili hata ya Kugundua tu haya mambo mepesi mepesi?
 
Nimekusoma kuliko ulivyonivaa mkuu.. ndio maana nikauliza shida ni nini kama ujumbe umefika.
Hiyo picha ni mfano wa mavazi yanayoongelewa, kwa iyo hakuna tabu hapo.
 
Yaani haka muda wote kenyewe yanga yanga zahera yanga tulia umpikie mumeo mtoto wa kike!
 
Kichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".

Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?

Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
Mwinyi zahera ndio kocha mchafu na anayevaa hovyo hovyo kuliko kocha yeyote tz, SASA ulitaka aweke picha ya Nani??

Picha inasadifu ukweli
 
Kichwa chake cha Habari cha hiyo Habari yake kinasema...." TFF yaja ya Sheria mpya wale watakaovaa vibaya, hovyp hovyo na kuonekana Wachafu hawatoruhusiwa Kuingia Uwanjani au Kukaa katika Benchi la Wachezaji ".

Je Saleh Ally ( Salehe Jembe ) kuiweka Picha hiyo ya Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ametuma Ujumbe gani wa Kificho kwa Sisi Wasomaji wake? Na kwanini katika Picha zote za Makocha mbalimbali wa Ligi Kuu nchini Yeye ameona tu Kocha Mkuu wa Yanga SC ndiyo anastahili kuwekwa katika hiyo taarifa yake?

Hivi huyu Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Soka anawajua vizuri Yanga SC au anawasikia tu pale Wakikwazwa?
Basi punguza munkari kakusikia siku nyingine atamuweka mchebe
 
Uzuri mwenyewe pia ni yanga
 
Tff wanatunga sheria ambazo CAF FIFA hazipo ipo siku atasema mashabiki kuleni mirungi ili mshangilie vizuri
 
Yanga mlikosea sana kutokumuomba Rais wa South alipokuwa nchini kwenye mambo yake ya SADC ili akawafanyie robbing kwa Township rollers waweze kuwaonea huruma msitolewa round ya kwanza tu.

Sasa onyesheni huo ubingwa wenu wa kihistoria.
Nadhani umeona
 
Back
Top Bottom