Interview ya Zahera E FM imenipa picha halisi ya soka la Tanzania

MIJIZI NA MIDHULUMATI NYIE.MPENI PESA ZAKE.DANTE NAYE MNATAKA KUMZIMA PESA ZAKE.MRUDISHIENI PESA ZAKE MAJAMBAWAZI MAKUBWA NYIE.MTU KAISAIDIA TEAM SASA MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE.😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Msaidie kwenda FIFA au kortini.
 
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini ni kweli.

Zahera amesema kuna wakati Mwenyekiti anamuingilia kwenye majukumu yake na akatolea mfano game ya Lipuli dhidi ya Yanga iliyochezwa Iringa, kwamba wakati wameenda dressing room mwenyekiti wa sasa wa Yanga aliingia naye na kutoa maelezo namna gani ya kucheza as if yeye ni kocha, suala ambalo liliwashangaza wachezaji.

Mambo mengine aliyofunguka Zahera ni kugusia maandalizi before ya game inakuawaje Yanga n.k

NB: Kiukweli ameongea mambo mengi sana. Siwezi kuweka mambo yote hapa lakini Zahera amenipa picha halisi ya soka la Tanzania behind the scene.
YANGA na CCM kitu kimoja, unachoona Yanga kipo CCM.
Meko anaingilia bunge, CAG, Mahakama, TISS na TRA, yeye ndiye aliye juu na sasa watu wameamua kumtungia nyimbo za sifa, Mungu kawekwa kando ila tahadjari moja tu "Mungu ana wivu sana, akiona unachukua utukufu wake anakuita kwake"
 
mwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u

Hamna kitu kama hicho... Kocha yoyote anayeheshimu taaluma yake anakabidhi kazi hapo hapo na kusepa zake.

Mwenyekiti ni mwenyekiti na kocha ni kocha. Tatizo u hire experts ans yet u wana teach them how to do the job... Kama unajua sii ufanye mwenyewe.
 
Mwanasheria wa Yanga wafungulie Efm kesi ya defamation ...Zahera anamtaja Gharib na GSM kwenye upuuzi wake...brand ya Yanga wameichafua sana wafundisheni adabu
 
Mbona hakuongea siku zote anaongea saivi?
Hakuongea au hukumwelewa?? Unafikiri alivyolia kule mbeya alipohojiwa unafikiri alikuwa analia kwanini?? See things in third eye man!
 
Hakuongea au hukumwelewa?? Unafikiri alivyolia kule mbeya alipohojiwa unafikiri alikuwa analia kwanini?? See things in third eye man!
Mkuu hata alie, hata afanye mahojiano kwenye kila media na aseme mabaya ya Yanga hiyo aifichi ukweli kwamba kafukuzwa Yanga na litabaki hivo.
 
Mkuu hata alie, hata afanye mahojiano kwenye kila media na aseme mabaya ya Yanga hiyo aifichi ukweli kwamba kafukuzwa Yanga na litabaki hivo.
Kwani kufukuzwa ni kitu cha ajabu. watu wanaongelea hali halisi inayorudisha soka letu nyuma kwa ujumla wewe unashikilia kufukuzwa utadhani angekaa hapo milele.
 
Media tour zake zote nimezisikiliza,unafiki na uzandiki wa wana habari za michezo Tz ni ngumu kama taifa kutoboa kisoka,hawaulizi maswali ya msingi,wanamuuliza maswali ya mipasho mipasho,kishabiki na kwasababu wameshajua ni roporopo,ila akiendelea ajue hatutakuwa na huruma naye tena nilimsikia wanataka kuishi Tz sawa,angekuwa na akili angeendelea kufanya mambo yake tu,kuendelea kutuudhi kwa kejeri zake na Yanga inafans 65% ya Tanzanians, ajiangalie sana.........asione ukimya huu watu wanahasira na mipasho yake
 
Hakuongea au hukumwelewa?? Unafikiri alivyolia kule mbeya alipohojiwa unafikiri alikuwa analia kwanini?? See things in third eye man!
Professional coach hawezi kulia kwa kupata matokeo ambayo hakutarajia,anaeleza sababu ya kupoteza kiufundi na way forward,tangu kilio kile nilianza kumdoubt sana.Post match interviews za Zahera ni malalamiko tu na Si technical aspects
 
Kwani kufukuzwa ni kitu cha ajabu. watu wanaongelea hali halisi inayorudisha soka letu nyuma kwa ujumla wewe unashikilia kufukuzwa utadhani angekaa hapo milele.
Kwahiyo unataka kusemaje kwamba kufukuzwa kwake kunatudisha soka nyuma?

Ulishaona kocha yoyote akifukuzwa anahangaika kwenye maredio kila Siku? Josep omog alifukuzwa simba ulimsikia akiongea ongea ? Plujim alifukuzwa azam ulimsikia akiongea ongea?
 
Kwahiyo huyo dalali, msemaji n.k wa yanga ambae amefukuzwa kwakusema kwake hivyo ww umeshamuamini!???
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini ni kweli.

Zahera amesema kuna wakati Mwenyekiti anamuingilia kwenye majukumu yake na akatolea mfano game ya Lipuli dhidi ya Yanga iliyochezwa Iringa, kwamba wakati wameenda dressing room mwenyekiti wa sasa wa Yanga aliingia naye na kutoa maelezo namna gani ya kucheza as if yeye ni kocha, suala ambalo liliwashangaza wachezaji.

Mambo mengine aliyofunguka Zahera ni kugusia maandalizi before ya game inakuawaje Yanga n.k

NB: Kiukweli ameongea mambo mengi sana. Siwezi kuweka mambo yote hapa lakini Zahera amenipa picha halisi ya soka la Tanzania behind the scene.
 
mwenyekiti alikuwa mchezaji na kocha, kama aliona wachezaj wanacheza hovyo ana haki ya kuwapa maelekezo sahihr, hata Fargeson anafanya hivyo kwa man u
Ferguson hajalazimisha anaombwa tena siopekeake kuhamasisha wachezaji nk,hao anaolalamika zahera kachaguliwa na nani ili afanye huo utaratibu
 
Back
Top Bottom