Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia majukumu ya kocha, hili jambo nilikuwa nasikia Ila sikutaka kuamini Ila Zahera amelisema ndiyo nimeamini ni kweli.
Zahera amesema kuna wakati Mwenyekiti anamuingilia kwenye majukumu yake na akatolea mfano game ya Lipuli dhidi ya Yanga iliyochezwa Iringa, kwamba wakati wameenda dressing room mwenyekiti wa sasa wa Yanga aliingia naye na kutoa maelezo namna gani ya kucheza as if yeye ni kocha, suala ambalo liliwashangaza wachezaji.
Mambo mengine aliyofunguka Zahera ni kugusia maandalizi before ya game inakuawaje Yanga n.k
NB: Kiukweli ameongea mambo mengi sana. Siwezi kuweka mambo yote hapa lakini Zahera amenipa picha halisi ya soka la Tanzania behind the scene.