Interview ya TRA haijatuacha salama

Interview ya TRA haijatuacha salama

mmeulizwa maswali gani mwaka huu?
Fair boss naamini hata cut off marks zinaweza kuwa kubwa maana mtihani umebase Tax tu nadhani yeyote katika course walizoomba wanaweza jibu.

Labda usahihishaji usiwe Fair na Vimemo vihusike kwa sana.
 
sasa kwa wale ambao hawakusoma tax mfano evonomics na law wamejibu nin?
 
Back
Top Bottom