Interview ya TRA haijatuacha salama

Interview ya TRA haijatuacha salama

Swali la msingi...Hivi ukipewa ule mtihani wa TRA sasahivi baada ya kuona maswali siku ile utaweza kuupita ??

Jf haitakusaidia kama hutaweza kujiongeza.Nako huku unaweza jikuta unaishia jukwaa la mmu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu mkuu japo kuna
majukwaa ukiingia unaweza kusahau jumla mambo ya TRA ukabaki ni kupambana na watu wa MMU na Pm
 
Presentation ya leo umeisikia vizuri??, km unatarajia kuendelea kutafuta kazi hapa bongo nakushauri tafuta mafaili yale ya leo soma between lines, uelewe na kukariri pia. Ikitokea interview usije fail tena otherwise u a welcome!!
 
Back
Top Bottom