Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 3,019
- 3,192
Salaam!!!!
Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview.
List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4)
Shukran.
Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea.
www.jamiiforums.com

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA
Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...