Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

Sio sahihi, kuna watu wame apply zaidi ya mara moja pia wengi tu hapo wameajiriwa ila wanataka either kupata serikalini au wengine wanataka uhamisho kutoka sekta moja serikalini kwenda nyingine.

Kumbuka interviews zinafanyika siku mbili kati ya tarehe 29 na 30.

Kuna kada nyingi ambazo zina tarehe sawa ya interviews.

Mfano Human Resources, Management, Customs Assistant, Data management Officer, Administrative Officer, Accountant nk. Zote hizo siku ya interviews ni tarehe 30

Sasa waliyo apply zaidi ya mara moja wanawezaje ku manage interviews mbili zinazofanyika kwa siku moja na muda sawa?
 
Kwa anaejua maswali ya boat technical yanakuaje kweny written interview msaada jaman
Boat technician interviews often focus on technical expertise, problem-solving skills, and safety awareness. Here are some common questions you might encounter:

  1. Technical Knowledge:
    • Can you describe your experience with marine diesel engines?
    • What types of electrical systems have you worked on in a marine setting?
    • How comfortable are you with reading technical drawings and schematics?
  2. Maintenance and Repairs:
    • How do you diagnose and troubleshoot issues with marine engines or systems?
    • Can you explain the steps you take to perform routine maintenance on a vessel?
  3. Safety and Compliance:
    • How do you ensure safety while working on boats?
    • Are you familiar with maritime safety regulations and standards?
  4. Problem-Solving Scenarios:
    • Describe a challenging repair you’ve handled and how you resolved it.
    • How would you prioritize tasks during an emergency repair situation?
  5. Experience and Tools:
    • What tools and equipment are you most comfortable using?
    • Have you worked with modern marine technologies, such as GPS or radar systems?
  6. Teamwork and Communication:
    • How do you communicate technical issues to non-technical team members or clients?
    • Can you share an example of how you collaborated with a team to complete a project?

Source: Capilot AI
 
Nimeipitia hiyo PDF nimegundua kweli ajira ni changamoto kubwa sana kwa Taifa.

Imagine kitengo cha Tax manager kuna watu walioitwa kwenye interviews roughly 6000 halafu katika hao wanaohitajika sidhani kama wanafika hata 30.

Mfano HR peke yake imekusanya watu 5656 ambao wameitwa kwenye usahili. Hii ni sawa na jumla ya idadi ya wanafunzi wa chuo kizima cha MUST.

Hii listi ni ndefu mno na inaweza kukatisha tamaa watu wengi.

Kufanya mchujo kwa idadi hiyo ya watu kupitia interviews ya kuandika uje uwapate hao 30 ambao wanahitajika sioni kama ni jambo rahisi.

Walau kitengo cha Boat technician ndio nimeona kina watu wachache 36 napo hapo sijui wanaohitajika ni wangapi ila at least chance inaonekana.

Muhimu ni kwenda tu kwenye interviews ukiwa umejiandaa huwenda dusko likakuangukia huwezi jua.
Hao wote walioomba sio kwamba hawana ajira hapana. Wengine wanataka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Utashangaa siku ya interview parking inajaa magari ya wasailiwa. Na pale Bunju APC wali nyama 7000 na watu wanakula.
 
Hao wote walioomba sio kwamba hawana ajira hapana. Wengine wanataka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Utashangaa siku ya interview parking inajaa magari ya wasailiwa. Na pale Bunju APC wali nyama 7000 na watu wanakula.
Ndio huo ugumu sasa ambao nauona.

Kwasababu hao wenye ajira hawajaomba tu for fun. Hapana wamemaanisha.

Na kama kutakuwa na mambo ya influence kulingana na nafasi zao kwenye hizo currently ajira basi ndio inazidi kuongeza ugumu mbele ya wasiokuwa na hizo influence.
 
Unajua matumizi ya deed poll?
Sikuhizi wanatumia deed poll kama majina yanatofautiana, hata kwenye email zako wamewaandikia watu waende na deed poll ambao majina yametofautiana, na hii deed poll ninavyojua ni process ndefu mpaka kuipata, so wanaweza kukosa kufanya mtihani ambao majina yanatofautiana
 
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe

Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Kwani aliomba mara mbili? Je, tarehe, muda na venue ya interview ni moja?
Achague moja, maana mshika mawili..........
 
Sikuhizi wanatumia deed poll kama majina yanatofautiana, hata kwenye email zako wamewaandikia watu waende na deed poll ambao majina yametofautiana, na hii deed poll ninavyojua ni process ndefu mpaka kuipata, so wanaweza kukosa kufanya mtihani ambao majina yanatofautiana
Sawa, hapo tofauti ya majina iko wapi ?

1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
 
Maswali ya written ya(OFFICE ASSISTANT) ni yapi?
 
Kwenye usaili wa waalimu kuna watu walilalamika usaili kufanyika siku ya jmosi kwamba ni sabato, ila huku sijaona hizo mambo, aisee waalimu wana matatizo mengi mno kichwani 🙌
 
Back
Top Bottom