ni kweli kabisa me nakumbuka 2022 tulikua wengi sana ila bahati inakuja upande wakoMsikatishwe tamaa na idadi ya watu wewe angalia karatasi yako ya interview na pambana hakikisha unapiga marks za uhakika mengine muachie Mungu.
Sh. Laki 100, 000 itoe sh. 1500
Enewei n kujaribu bahati lakn
Ingekuwa hamna rushwa
Kuna haki sawa, uwazi,
Ata ww ungejiaminisha kwamba kwenye 1500 unaweza kuwemo.
Kwa kweli sijui, Nahisi system yao ilitaka majina matatu, so kama una mawili huenda ilikuwa inawakatalia kuendelea na zoezi ndo maana wakawawekea 0Mkuu hivi imekaaje kwa wale tusio tumia majina matatu kuwekewa pale katikati ya jina sifuri then ndio jina la mwisho lina fuata..?
Ni kweli mkuu ila nimesikia haina tatizo kwenye usahili ikiwa mtu amekidhi vigezo vya kazi husika ndomana system ina muweka mwenye majina hayo mawili kama hivyo kwenye Short list yao.Kwa kweli sijui, Nahisi system yao ilitaka majina matatu, so kama una mawili huenda ilikuwa inawakatalia kuendelea na zoezi ndo maana wakawawekea 0
Kupotezeana muda na ubabaishaji mwingi. Haingii akili nafasi 30 uite watu 6000 kwenye interview. Wangeita hata watu 150 au 200 tungewaelewaNimeipitia hiyo PDF nimegundua kweli ajira ni changamoto kubwa sana kwa Taifa.
Imagine kitengo cha Tax manager kuna watu walioitwa kwenye interviews roughly 6000 halafu katika hao wanaohitajika sidhani kama wanafika hata 30.
Mfano HR peke yake imekusanya watu 5656 ambao wameitwa kwenye usahili. Hii ni sawa na jumla ya idadi ya wanafunzi wa chuo kizima cha MUST.
Hii listi ni ndefu mno na inaweza kukatisha tamaa watu wengi.
Kufanya mchujo kwa idadi hiyo ya watu kupitia interviews ya kuandika uje uwapate hao 30 ambao wanahitajika sioni kama ni jambo rahisi.
Walau kitengo cha Boat technician ndio nimeona kina watu wachache 36 napo hapo sijui wanaohitajika ni wangapi ila at least chance inaonekana.
Muhimu ni kwenda tu kwenye interviews ukiwa umejiandaa huwenda dusko likakuangukia huwezi jua.
WANGEITWA HAO 200 HAOWALIOACHWA NAO WANGELALAMIKAKupotezeana muda na ubabaishaji mwingi. Haingii akili nafasi 30 uite watu 6000 kwenye interview. Wangeita hata watu 150 au 200 tungewaelewa
Weledi hauna hofu eti watalalamika. Weledi hapa ni short listing.WANGEITWA HAO 200 HAOWALIOACHWA NAO WANGELALAMIKA
Sio sahihi, kuna watu wame apply zaidi ya mara moja pia wengi tu hapo wameajiriwa ila wanataka either kupata serikalini au wengine wanataka uhamisho kutoka sekta moja serikalini kwenda nyingine.Nimeipitia hiyo PDF nimegundua kweli ajira ni changamoto kubwa sana kwa Taifa.
Imagine kitengo cha Tax manager kuna watu walioitwa kwenye interviews roughly 6000 halafu katika hao wanaohitajika sidhani kama wanafika hata 30.
Mfano HR peke yake imekusanya watu 5656 ambao wameitwa kwenye usahili. Hii ni sawa na jumla ya idadi ya wanafunzi wa chuo kizima cha MUST.
Hii listi ni ndefu mno na inaweza kukatisha tamaa watu wengi.
Kufanya mchujo kwa idadi hiyo ya watu kupitia interviews ya kuandika uje uwapate hao 30 ambao wanahitajika sioni kama ni jambo rahisi.
Walau kitengo cha Boat technician ndio nimeona kina watu wachache 36 napo hapo sijui wanaohitajika ni wangapi ila at least chance inaonekana.
Muhimu ni kwenda tu kwenye interviews ukiwa umejiandaa huwenda dusko likakuangukia huwezi jua.
mdam tuwasiliane tupeane nondoHaya sasa tupeane mbinu za kufaulu wakuu
Kwa anaejua maswali ya boat technical yanakuaje kweny written interview msaada jamanNimeipitia hiyo PDF nimegundua kweli ajira ni changamoto kubwa sana kwa Taifa.
Imagine kitengo cha Tax manager kuna watu walioitwa kwenye interviews roughly 6000 halafu katika hao wanaohitajika sidhani kama wanafika hata 30.
Mfano HR peke yake imekusanya watu 5656 ambao wameitwa kwenye usahili. Hii ni sawa na jumla ya idadi ya wanafunzi wa chuo kizima cha MUST.
Hii listi ni ndefu mno na inaweza kukatisha tamaa watu wengi.
Kufanya mchujo kwa idadi hiyo ya watu kupitia interviews ya kuandika uje uwapate hao 30 ambao wanahitajika sioni kama ni jambo rahisi.
Walau kitengo cha Boat technician ndio nimeona kina watu wachache 36 napo hapo sijui wanaohitajika ni wangapi ila at least chance inaonekana.
Muhimu ni kwenda tu kwenye interviews ukiwa umejiandaa huwenda dusko likakuangukia huwezi jua.
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayoKuna ambao majina yametoka kwenye Position zaidi ya Moja...sasa sijui unaruhusiwa kufanya sehemu zote?
Na hapo kuna wengine hawakuomba bado ilo nyomiNimeipitia hiyo PDF nimegundua kweli ajira ni changamoto kubwa sana kwa Taifa.