Ile siku baada ya ile test nilinyoosha Mbezi nikapanda basi la mkoa wangu njiani nikamuambia mwenyeji nguo, mswaki na vitu vingine nitavifuata Mungu akipenda.