tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
Kwa kweli unatakiwa kuwa na supersonic speed ya ubongo sehemu ya kufikiri ili uweze kumaliza aptitude test hiyo vinginevyo lazima uwe umeyaona maswali kabla.
Nilikuwa mmoja wa waliobahatika kuitwa kwenye written interview ya Operations Officer, interview iliyofanyika leo IFM.
Lakini moja ya maajabu niliyokutana nayo ni kupewa maswali 100 yanayotakiwa kujibiwa ndani ya dakika 135.
Kwa maana hiyo ili kupata alama zote(100%) inatakiwa kila swali lijibiwe sahihi ndani ya dakika 1 na sekunde 21 tu. Sijui waandaaji wa hayo maswali walitumia kigezo gani kupima kiasi kwamba mtahiniwa anaweza kupata muda wa kusoma swali, kulielewa na kutoa uamuzi ndani ya hiyo dakika moja.
Kama huu sio usanii basi ni kukomoana.
Halafu cha kushangaza zaidi::
Mimi huwa nashindwa kuelewa nimeona watu wana vitambulisho vya Standard chartered, Crdb, NBC, na makampuni makubwa makubwa nao wame apply kazi. Sasa hivi ni tamaa ya kutaka kufanya kazi Nssf au? Mtu unafanya kazi unalipwa vizuri mfano " standard chartered wanalipwa si pungufu ya laki nane take home" yanini kuja kutuzibia nafasi tusio na ajira kabisa?
Huu ni ulimbukeni na tamaa tu!!
I hate those who came from reputable companies like standard chartered, crdb, to apply for our position..
real inauma sana....wadau.
umeshaambiwa swali limekamilika na linafanyika imagine uko kwenye chumba cha mtihani na umekutana na swali hilo je utalijibu kwa kuuliza maswali kama unavyouliiza hapa.?kusema rahisi lakini kufanya ni kazi sana
tamaa tu!! mkuu hapo ni kuwazibia wengine... na waajiri wengi wanachukuwa wenye experience
Hata wangesema nafasi 100 kama wewe kafiiiir hatukuhitaji nssf.ni zamu yetu kutamba.mlizoea sana kujiona mnaweza na kukalia ofisi zote sasa imekula kwenu nssf ndo mambo yote.hongera dau mungu akulinde uwapende waislam wenzako.mungu akupe nini zaidi ya kupewa majibu ya maswali ya interview na kupata ajira nssf?Hawajasema wanataka watu wangapi
Inawezekana hata aliyeandika swali hana jibu.Anapoamua kuwasaidia anawasaidia kwa muda gani? Sekunde moja, dakika moja, nusu saa, saa moja au? Swali lilikuwa kwa kiswahili au kiingereza? Huenda na wewe hata swali hukulielewa (hasa kama lilikuwa kwa kiingereza)
km watu kama nyinyi mnaajiriwa pale basi nssf imegeuka sehemu ya kulakula bajia na kunya kunya tu.hamna kazi mnayoweza nyinyi kina yakhe zaidi ya unaa na kujaza choo tu.Hata wangesema nafasi 100 kama wewe kafiiiir hatukuhitaji nssf.ni zamu yetu kutamba.mlizoea sana kujiona mnaweza na kukalia ofisi zote sasa imekula kwenu nssf ndo mambo yote.hongera dau mungu akulinde uwapende waislam wenzako.mungu akupe nini zaidi ya kupewa majibu ya maswali ya interview na kupata ajira nssf?
Mimi Dini Yangu ni MTANZANIA, Hebu nieleze Uwezekano wangu
kwa mtindo huu utaruka maswali yote mia......na umalize ndani ya dk kumi na kweli utaonekana uko vizuri kwenye time management na prioritization ...