Umenikumbusha wale jamaa wa TIB nao wana hiyo desturi.Ile Breakfast na Lunch heavy haikuwa ya bure lazima uilipie kwa pepa
Maeneo jirani ni kempiski, Serena ile ingine.Wakuu mwenye uzoefu wa maeneo ya jiran na hapo BOT, vp kuhusu maradhi kuna ya bei nafuu.?
Nimeitwa pia.
Hii chai😅😅😅😅Inategemea ni kada ipi umeitiwa,uhandisi,biashara nk.
Na pale huwa kunakuwa na interview mbili,
Huwa Kuna mapocho pocho kibao,korosho,kahawa,kuku kidogo,kipindi hicho hata nauli unarudishiwa kama umetoka mkoani.
Ipi tena mkuu, hii ya BOT nilikaa Magomeni mkuu ndo tunasubiri majib aisee.Maeneo jirani ni kempiski, Serena ile ingine.
Vipi ulifanikiwa kupata kazi?
Uongo ndio 😂😂😂😂😂😂😂Mkuu chai ukimaanisha uongo au![]()
Hamn mkuu kuhusu msosi ni kweli, tulipiga chai asubuhi kabla ya paper na tulivopiga paper tukapiga msosi heavy kushushia maumivu then unatok unasepaUongo ndio![]()


, ila kuhusu issue ya nauli ndo sijui mkuu.Si useme tu kuhusu nauli hamna kitu kama ichoHamn mkuu kuhusu msosi ni kweli, tulipiga chai asubuhi kabla ya paper na tulivopiga paper tukapiga msosi heavy kushushia maumivu then unatok unasepa, ila kuhusu issue ya nauli ndo sijui mkuu.
Si useme tu kuhusu nauli hamna kitu kama icho

Kweli nauli hatujapewa, but jamaa kasema watakaoitwa kwenye oral wanawez pewa, hii tulifanya writen.Hamn mkuu kuhusu msosi ni kweli, tulipiga chai asubuhi kabla ya paper na tulivopiga paper tukapiga msosi heavy kushushia maumivu then unatok unasepa, ila kuhusu issue ya nauli ndo sijui mkuu.


mkuu hao walikuwa wanalaunch bank auKuna jipya kuhusu Oral!?![]()
Bado hawajaita. Endelea kuvumilia. Giza likizidi mwanga unakaribia. Tarehe 9 usizime simu.Na mm nilitaka kuuliza hili kuna walio itwa oral jaman ili tusiendelee kujipa moyo
Ondoa shaka mazuri hayataki haraka.Kuna jipya kuhusu Oral!?![]()
Wakuu habarini za Asubuhi na poleni na majukumu ya kila siku!
Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test Benki Kuu ya Tanzania (BOT) huwa inakuaje?
Au maswali yake huwa vipi?
Maana nimeitwa kwenye interview, naombeni msaada nafasi ni HR.
Naomba kuwasilisha.