Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Wengine wamepigiwa simu interview ni january 2022 so kua mpole mkuu wanapiga simu taratibu taratibu
 
Hv wakuu kwa mfano post wanataka watu watano, oral wanawez ita wangapi.? Wenye uzoefu.
 
Tarehe ngapi?na hizo ni kwa nafasi IPI?
Nachojua kuna watu wameitwa Jan 9, ila huwez jua wangapi sababu hawajapublish ndo maana nikauliza kwa mfano kuna post 5 wanawez ita wangapi.
 
Humu kimya jaman wale wa BOT walisha itwa makazini nn wengine tulishwa chinjwa
 
Back
Top Bottom