Jipe moyo mkuu utashindaPaper was kind of tough tusubiri majibu tu mkuu
Pole kaka ...Mungu ni mwemaPaper was kind of tough tusubiri majibu tu mkuu
Aisee bado hii tu haya mambo kweli? Mimi mdogo wangu wa kike aliitwa post ya financial analyst. Sijui hata imekuajePlus the competition dah...uko zako venue unajiandaa unaskia somebody mkuchika yupo? Tunaomba aje apa nje maramoja
Ngoja tusubiri, maana si group letu tuliuliza tukaambiwa kama ambovyo hamkujua mtaitwa lini interview hii ya kwanza, hivyo hivyo hamtajua na inayofuata kila mtu alud kwaoNimeskia wiki mbili sa sjui kweli na inawezekana ikazidi maana hawa jamaa wanatake time



we ulienda kwenye position gan mkuu


Kutaja position hapa sio poa, ila nilifanya Ijumaa tar 5 mkuu.Bongo nyoso aiseePlus the competition dah...uko zako venue unajiandaa unaskia somebody mkuchika yupo? Tunaomba aje apa nje maramoja

Acha uoga mzee majina wametoa wenyewe itakua wewe apa na fake ID unaogopakwa woga huu ushafeli


Kufeli sio mbaya mzee, ingawa inaumaOya unasema kweli ... iyo kitu imetoka juzi wakati mnapiga pepa?Plus the competition dah...uko zako venue unajiandaa unaskia somebody mkuchika yupo? Tunaomba aje apa nje maramoja



Uyo somebody mkuchika alirudi tena kwenye chumba cha mtihani??Plus the competition dah...uko zako venue unajiandaa unaskia somebody mkuchika yupo? Tunaomba aje apa nje maramoja
Ile Breakfast na Lunch heavy haikuwa ya bure lazima uilipie kwa pepa
