Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Swali la mwisho nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali? Short list zilitangazwa? Maana hadi kuitwa kwenye mhitani wa maandishi kuna uchujaji, ila kama una Godfather kila la heri ila ukisikia malipo yoyote alarm igonge.

Walikuambia OFISI NDOGO YA BOT IPO WAPI?

TANGAZO LILITOKA LINI?
APPLICATION DEADLINE ILIKUA LINI?

Una doc yenye saini? Aither
tangazo
Wito wa interview
au barua yoyote?

Sina uhakika sana ila najua kuna baadhi ya post hasa nyeti wanapostiwaga direct

Ukipata au kupigwa utustue
Man...

You'r so sensitive mpaka umezidi hii ndo ile wanasema too much of anything is always harmfull ndio hii sasa kwako imekua harmfull.

1. Post zilitangazwa mwezi wa sita walitoa pdf ndeefu yenye kada tofauti tofauti watu tukaomba. Kuhusu gazeti la serikali sijui (kwanza nisaidie jina la hili gazeti next time nifatilie na uko).

2. Maombi yote yalitumwa kwa Deputy Governer (Utawala) via posta.

3. Shortlisting ya kwanza ndio iyo imeanza tunaenda kuchujwa na Aptitute simu wamepiga wao wenyewe na na simu za ofisini kwao.

3. Email pia ni ya kwao wametuma na kuna barua pia (pdf) with two signatories.

4. Siku ya Tukio ni Tarehe 4 November 2021. Eneo ni ofisi zao Pale posta

Mpaka apo niambie unacho waza (upigaji) uko wapi
 
Tangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukuliona
nipo huku siku nyingi ndio maana nikasema umeshikwa mkono maana hata tangazo hujaliweka
Barua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zote
Screenshot_20211023-070223_Adobe%20Acrobat.jpg
 
Tangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukulionaBarua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zoteView attachment 1983808
Mkuu Mimi pia nilipata kazi kwa Hali ilivyongumu kwa sasa kila mmoja alikua anasema natapeliwa hadi napata barua ya kuitwa kazini na posho+ mshahara unaingia ndo wakaamini, Ila Mimi nilijitoa nikasema as hakuna sehemu yoyote natoa pesa kwahyo sikua na cha kupoteza labda zaidi sana wangekua matapeli wangenipotezea muda. Kila la kheri mkuu nenda kapambane.
 
nipo huku siku nyingi ndio maana nikasema umeshikwa mkono maana hata tangazo hujaliweka
We jamaa sijui unafikra gani, tangazo la BOT nafasi zilitoka tangu mwezi wa 6 na watu wameanza kuitwa na kutumiwa email for interview... Na interview inafanyika palepale BOT Dar posta....unaongelea habari za upigaj maana akili yako ishajitune kuamin hivyo...huamini nenda tarehe 3&4 utawakuta wakifanya interview afu useme habari zako za upigaji....watu kama nyie mnakera sana
 
Tangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukulionaBarua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zoteView attachment 1983808
Kaka hongera sana kwa kuwa shortlisted, aptitude test inatest zaid ur reasoning ability and personality...kunaweza kuwa na simple arithmetic questions na personality questions...the qns always seems to be easy but witu tricky answers....so nakushauri tu ingia google and youtube search for aptitude test...u will get enough info abt that...lakin pia jikumbushe vihesabu vya olevel kama zile za sequence and series, zile za kucalculate distance, speed...na yale mambo ya principal, interest and time...kwenye test niliyoifanya mm kwenye upande ya numerical qns vilikuwepo....kwenye personality qns watataka kujua wewe ni mtu wa aina gan and how u react with situation...also u might be asked qns ili kujua kama ww ni team player au lah...all in all...am wishing u all the best
 
Mkuu Mimi pia nilipata kazi kwa Hali ilivyongumu kwa sasa kila mmoja alikua anasema natapeliwa hadi napata barua ya kuitwa kazini na posho+ mshahara unaingia ndo wakaamini, Ila Mimi nilijitoa nikasema as hakuna sehemu yoyote natoa pesa kwahyo sikua na cha kupoteza labda zaidi sana wangekua matapeli wangenipotezea muda. Kila la kheri mkuu nenda kapambane.
Watu kama huyu EINSTEIN112 ndio mara nyingi wanaishia kupigwa. Anajiona anajua kumbe hamna kitu
 
Kaka hongera sana kwa kuwa shortlisted, aptitude test inatest zaid ur reasoning ability and personality...kunaweza kuwa na simple arithmetic questions na personality questions...the qns always seems to be easy but witu tricky answers....so nakushauri tu ingia google and youtube search for aptitude test...u will get enough info abt that...lakin pia jikumbushe vihesabu vya olevel kama zile za sequence and series, zile za kucalculate distance, speed...na yale mambo ya principal, interest and time...kwenye test niliyoifanya mm kwenye upande ya numerical qns vilikuwepo....kwenye personality qns watataka kujua wewe ni mtu wa aina gan and how u react with situation...also u might be asked qns ili kujua kama ww ni team player au lah...all in all...am wishing u all the best
Shukrani sana mkuu....
 
Tangazo mbona lilitembea sana mkuu sema wewe ndio hukulionaBarua ya Wito hii apa maelekezo yote yapo huku. Mi nafikiri ungefocus kwenye uzoefu na Aptitude test kama una uzoefu nayo ila kuanza kuhisi post ni za uongo uko uko wrong mi mwenyewe niko smart kwenye kupembua mambo ya aina hii so sio rahisi kuniingiza mkenge. Bytheway izo letter head ukienda kwenye website yao utazikuta zoteView attachment 1983808
Afu bro , usitumie nguvu sana kuwathibitishia watu huku kuhusu genuinity ya wewe kuitwa kwa interview,ambae anaamin muache, ambaye haamin muache, coz haikuongezei wala kukupunguzia kitu...cha muhimu focus tu na kile ulichokuja kuuliza hapa...watu humu wana makasiriko na wivu pia kutopata hizo nafasi
 
Inategemea ni kada ipi umeitiwa,uhandisi,biashara nk.
Na pale huwa kunakuwa na interview mbili,
Huwa Kuna mapocho pocho kibao,korosho,kahawa,kuku kidogo,kipindi hicho hata nauli unarudishiwa kama umetoka mkoani.
Yote hayo hayana faida ukianguka usaili
 
Nipo Serikalini na sio BOT uwe unajiongeza maana hata tangazo hujaweka

Au ndio watoto wa wakubwa mmeitwa
Endelea kukaza ubongo tu kama unao, tunakuambia kazi zilitangazwa June kila mtu anajua...ila sijui hata unauliza nn hapa...kama kupigwa haupigwi wewe...endelea na kazi zako usilete ujuaji au makasiriko kwa wengine
 
Afu bro , usitumie nguvu sana kuwathibitishia watu huku kuhusu genuinity ya wewe kuitwa kwa interview,ambae anaamin muache, ambaye haamin muache, coz haikuongezei wala kukupunguzia kitu...cha muhimu focus tu na kile ulichokuja kuuliza hapa...watu humu wana makasiriko na wivu pia kutopata hizo nafasi

Sawa Mkuu
 
We dogo nimekupa tahadhari tu maana mkipigwa mnakuja kulilia hapa
Wewe kwanza....

1. Ni muongo Kupitiliza

(iyo kusema watu wanarudishiwa nauli, breakfast sijui lunch ni uongo na hizi stori zipo kwenye vijiwe vya mtaani) myb ilikuaga zamani ila unatakiwa ufanye utafiti inaonyesha jinsi gani unakurupuka with no valid justfication

2. Mwoga wa maisha kuzidi kunguru

Swala la kuanza kuwaza mtu kupigwa umekaa kuibiwa ibiwa tu ndio unacho waza.

3. Mkurupukaji

Umekurupuka kunijubu na umeenda nje ya mada 100% ni bora ungekaa kimya kuliko kuandika vitu ambavyo havipo
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom