Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Nafasi zipo 4 mkuu ila sijajua sasa tumeitwa wangapi maana wao ndo wanajua coz unapigiwa simu na email tu hamna majina kama wanavyo fanya utumishi kutoa pdf
Poa kama ni aptitude pitia basic stuffs za career yako ila mara nyingi aptitude ni kukupima uelewa juu ya career na social issues so uwe fit na uwe tayari kwa lolote. Kwa msaada zaidi unaweza ukaingua YouTube ukapitia ili uone aptitude test huwa zinakuwaje. All the best kaka!
 
Thanks mkuu nipo na google + U tube grinding nimejifunza mengi
 
Hata mimi nimeitwa kwenye interview tarehe 2 hamna cha kupigwa wala nini twende tukapambane
Uliitwa kupitia kada gani?
Ulitumiwa na email?
Maana mimi sikuona email wala nn.
Na jamaa alinitajia na email yangu nikijua atanitumia na email pia
 
Uliitwa kupitia kada gani?
Ulitumiwa na email?
Maana mimi sikuona email wala nn.
Na jamaa alinitajia na email yangu nikijua atanitumia na email pia
Mkuu nilipigiwa simu na nikatumia email yenye barua ya mwito. Na majina yametoka tayari kada angalia nimesema tayari mwanzo kabisa
 
Okay Well.

Nimepigiwa simu ya confirmation then after 24hrs nikatumiwa barua ya wito wa aptitude test.

Siku ya interview ni Tarehe 4 November
Muda ni Saa mbili asubuhi eneo ni Sub head office Dar es Salaam
Mzee naomba kuuliza hapo wakat Unaomba uli certify vyeti??
Okay Well.

Nimepigiwa simu ya confirmation then after 24hrs nikatumiwa barua ya wito wa aptitude test.
 
Izo zingine HR concept sijui matheory i've nothing to fear najiamini ishu ni iyo aptitude test ambayo wanasema haibase kwenye career yako
Hio mnapewa paper tu mfano kama la hesabu zile za form four ivi. Io ni kama mchujo, Mimi niliendaga aptitude test TPB bank tulipewa pepa tu la hesabu za kawaida, sijui mambo ya Umri na vitu kama ivo.
 
Hio mnapewa paper tu mfano kama la hesabu zile za form four ivi. Io ni kama mchujo, Mimi niliendaga aptitude test TPB bank tulipewa pepa tu la hesabu za kawaida, sijui mambo ya Umri na vitu kama ivo.
Kada gani?
 
Mbona haionekani hiyo nafasi ya kazi
Unfortunately muda wake umeshipita ila siku nyingine uwe una click hapo kwenye attachment itajidowload automatically yenyewe halafu uifungue usome.
20211101_215857.jpg
 
Wakuu mwenye uzoefu wa maeneo ya jiran na hapo BOT, vp kuhusu maradhi kuna ya bei nafuu.?
Nimeitwa pia.
 
Wakuu mwenye uzoefu wa maeneo ya jiran na hapo BOT, vp kuhusu maradhi kuna ya bei nafuu.?
Nimeitwa pia.
Sio maradhi ni Malazi mkuu...kama ni ivyo we tafuta lodge maeneo ya Magomeni kule au ata Kariakoo kama utaweza ayo maeneo itakua rahisi kwako kufika eneo la tukio
 
Back
Top Bottom