Internet ya vodacom (30 bomba)

Internet ya vodacom (30 bomba)

Firefox

Senior Member
Joined
May 10, 2011
Posts
127
Reaction score
73
WAKUU MAJUZI HAPA TULIISIFIA SANA INTERNET YA VODACOM YA 30 BOMBA COZ SPEED YAKE ILIKUWA NA KASI SIO KIDOGO KIASI KWAMBA NILIDOWNLOAD ZAIDI YA 100GB NDANI YA MWEZI MMOJA.

(https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-voda-internet-bomba30-ni-nomaaaaaaaaaaa.html)

SASA GHAFLA SIKU KADHAA ZILIZOPITA ILE SPEED WALIIKATA KABISA IKAWA HATA KUFUNGUA JAMIIFORUMS AU GOOGLE NI KUWAIT FOR SOME SECONDS.

WAKUU WENGINE MLOKUWA MNAITUMIA NANYI IMEKUWA HIVYO HIVYO AU NI MIMI TU??

NAOMBENI MNIJUZE.
 
inaonekana mkuundo uliifunga kwa mara ya kwanza iliwaweze kukukvuta pole sana njoo airtel na tigo(ila hii uwe na hela kidogo maana ni noma)
 
Hiyo kudownload co nzur sana.wkt mwingne unabeba na virus mkuu..mbona mm iko poa sana..ful kujiachia.
 
Aiseeeee!!! Mie nipo mbioni kuikimbia maana hata jamii forum siwezi kuitembelea kama nilivyozoea!!! Iko slow sana kiasi kwamba inakera kwa kweli, niliwahi waulizia wakasema watarekebisha lkn miezi inakata sasa na hakuna changes zozote!! Ila nawakumbusha kitu kimoja, mteja akiondoka kumrudisha ni kazi kweli kweli walinde wateja wao!!!

Nahitaji moderm ya airtel ila hazipatikani zinasumbua kweli la sivyo long time ningeshalikimbia chama la voda lishachoka sasa!!!

WAKUU MAJUZI HAPA TULIISIFIA SANA INTERNET YA VODACOM YA 30 BOMBA COZ SPEED YAKE ILIKUWA NA KASI SIO KIDOGO KIASI KWAMBA NILIDOWNLOAD ZAIDI YA 100GB NDANI YA MWEZI MMOJA.

(https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-voda-internet-bomba30-ni-nomaaaaaaaaaaa.html)

SASA GHAFLA SIKU KADHAA ZILIZOPITA ILE SPEED WALIIKATA KABISA IKAWA HATA KUFUNGUA JAMIIFORUMS AU GOOGLE NI KUWAIT FOR SOME SECONDS.

WAKUU WENGINE MLOKUWA MNAITUMIA NANYI IMEKUWA HIVYO HIVYO AU NI MIMI TU??

NAOMBENI MNIJUZE.
 
Aiseeeee!!! Mie nipo mbioni kuikimbia maana hata jamii forum siwezi kuitembelea kama nilivyozoea!!! Iko slow sana kiasi kwamba inakera kwa kweli, niliwahi waulizia wakasema watarekebisha lkn miezi inakata sasa na hakuna changes zozote!! Ila nawakumbusha kitu kimoja, mteja akiondoka kumrudisha ni kazi kweli kweli walinde wateja wao!!!

Nahitaji moderm ya airtel ila hazipatikani zinasumbua kweli la sivyo long time ningeshalikimbia chama la voda lishachoka sasa!!!

Kama unayo ya Voda kwa nini usiichakachue ukatumia line zote?
 
Nadhani depends with location mimi nilikuwa nina Zantel nikawapiga chini walivyoleta utani wa kunilazimisha nitumie voice calls (5,000/= kwa wiki) sasa natumie Bomba 7 Voda sio fast kama Zantel au Airtel lakini siku zinakwenda na ninaweza hata nikaangalia streaming videos na download za hapa na pale... Lakini cha kufanya labda chakachua modem ya voda uweze kutumia Airtel as well
 
Sasatel nilikuwa nanunua bundle ya 1.5 gb per week natumia wk nzima na chenji inabaki nashangaa siku hizi 1.5 gb hata siku 3 haziishi!
 
@firefox najuta kuwasifia cku ile,ni sawa kabisa cpid imepungua yan acha 2,bomba 30 yngu imeisha juz hata sijigus!
 
Tigo ni shida tupuu kwenye simu.Kudownload mb 1.5 inachukua hata dk 27.
Nimeweka voda jana sikuamini:mb 1.5 imeangushwa chini ya dakika moja.Tena sasa hivi ile bundle ya siku 1 unakaa nayo 2 days?!tigo bye,byee.
Sijui kwa modem spidi ikoje lakini nataka kununua ya voda.
 
Nilijua nipo peke yangu kumbe wengi niliunganisha bomba 7 ya week yaani utalia hamna kitu longolongo nimeamua kuipiga chini kama kuna mtu anataka kujiunga na voda bomba acha kabisa utajuta natafuta provider mwenye package ya unlimited ambayo nafuu naweza kustream
 
kuna airtel wiki 10,000 wapata 3gb sio mbaya. Ila mimi natumia dap (download accelerator) nagonga hadi 140 downloading speed. Tafuta ip adress ambayo ni unique na port utakua fastaaaa
 
Tigo ni shida tupuu kwenye simu.Kudownload mb 1.5 inachukua hata dk 27.Nimeweka voda jana sikuamini:mb 1.5 imeangushwa chini ya dakika moja.Tena sasa hivi ile bundle ya siku 1 unakaa nayo 2 days?!tigo bye,byee.Sijui kwa modem spidi ikoje lakini nataka kununua ya voda.
nafkiri upo eneo ambalo voda wana 3g na tigo still wapo gprs, uspime 3g ya tigo waeza kuzimia
 
Mkuu hebu tuambie tunawezaje kuchakachua hii ya voda tulionayo maana ni balaa tupu
 
Back
Top Bottom