Haya maboresho ya vifurushi vya internet vya Vodacom ni kwangu tu au na nyie mmeona?

Patiee

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
474
718
Tujuzane hali huko kwenu ikoje. Naona Voda wamesikia malalamiko ya watumiaji wake hivyo wameamua kutuboreshea.

Sasa napata GBs za kutosha kwa bei nafuu plus kasi kubwa ya mtandao.
Dial
*149*01>nunua bando> internet>jimwage data.

Vodacom asanteni sana
 
Semeni Kuna kifurushi gani Cha ajabu..? Mi nikiangalia sioni cha ajabu najua kabisa kuna baadhi ya wateja wao wametuweka kwenye kitengo Cha MUFILISI!!😂
wamepunguza bei..elfu kumi unapata gb 6 kwa mwezi.elfu tatu gb2 kwa wiki..2500 gb3 kwa siku tatu...tofauti na bei zao za zaman..hapo kama mtu wa insta.whatsap na jf na youtube kidogo kwa hizo mb zinatosha saana..na ukizingatia hawa jamaa spidi yao nzuri sana..
 
Ugomvi wangu na voda ni kwenye dakika za mitandao yote ila kwengine kawaida.
 
Before nilikua kwa buku jero wananipa..dk150.sms1000, gb1 kwa wiki dooh wakanitoa sijui kwakuwa nilikua najiunga mara kwa mara
 
wamepunguza bei..elfu kumi unapata gb 6 kwa mwezi.elfu tatu gb2 kwa wiki..2500 gb3 kwa siku tatu...tofauti na bei zao za zaman..hapo kama mtu wa insta.whatsap na jf na youtube kidogo kwa hizo mb zinatosha saana..na ukizingatia hawa jamaa spidi yao nzuri sana..
Hazitoshi bado! Voda ninachowaelewa ni kuwa Hawa jamaa hawanaga longolongo wapo quality na hata wateja wao wanataka quality sio wanaoogopa kutumia hela!! Mkuu Kama pakikushinda njoo halotel voda huwa naigusagusa tu mi sifanyi kazi idara za helahela ila napenda huduma zao😂😂
 
Before nilikua kwa buku jero wananipa..dk150.sms1000, gb1 kwa wiki dooh wakanitoa sijui kwakuwa nilikua najiunga mara kwa mara
Wako hivyo,wakiona unafaidi Sana wanakutoa,,dawa yao wakikutoa iweke pending line yao miezi mitatu bila kuweka salio ili mwende sawa
 
Hazitoshi bado! Voda ninachowaelewa ni kuwa Hawa jamaa hawanaga longolongo wapo quality na hata wateja wao wanataka quality sio wanaoogopa kutumia hela!! Mkuu Kama pakikushinda njoo halotel voda huwa naigusagusa tu mi sifanyi kazi idara za helahela ila napenda huduma zao
Binafsi naina iko poa.
Screenshot_20200213-110138_My%20Vodacom%20Tanzania.jpeg
 
Back
Top Bottom