muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
kocha alieondolewa ndiye alisafiri na timu?au msaidizi?.
Yaani ulikuwa unashangilia kabla mechi haijaisha? Pole.
Wakuu Tanzania alishinda au droo.... hapa jf naona droo ila kweny mitandao kama goal.com inaonesha Tanzania ameshinda gol moja.. "Full
time Namibia 0 - 1 Tanzania" source goal.co.
Yaani hata Namibia wanatushinda?
mpira dakika 90 yani we kabla ya dakika ushafungulia topic!
Team yenyewe imechaguliwa na tff mnategemea ifanye vizuri!!
Kwa hiyo hata wachezaji wa Yanga walivyoondolewa kwenye timu ya Taifa sababu ni tatizo la kuunganisha ndege au sababu ya mechi ya Al-Ahly?Niliwahi kusema awali kuwa huu mchezo umeangukia kati kati ya kalenda ya champion league ya Afrika,complications ni nyingi kwenye kuunganisha ndege. By the way Masuke mbona huulizi kuhusu mwinyi kazimoto?
Kwa hii sare kuna uwezekano mkubwa wa kutuporomosha katika ranking za FIFA. Namibia wako nafasi ya 124 na sisi nafasi ya 116 ikionesha kuwa sisi ni bora kuliko wao. Kwa matokeo haya inawezekana tukaporomoka nafasi kadhaa kuwafuata na wao wakapanda nafasi kadhaa kutufuata mwisho tutakutana somewhere chini ya 116 na juu ya 124.
Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima, Hamis Kiiza, Didier Kavumbagu na Emmanuel Okwi wote ndani kuiweka Tanzania kwenye nafasi nzuri katika rank za FIFA.Mi huwa natamani kama vile tungeiteua 1 ya team nzuri kwenye nchi kuliwakilisha Taifa kwenye mashindano ya kimataifa...kwa case ya Tanzania kwa sasa hv kama team ya Wananchi ingepewa jukumu hilo ninauhakika nchi ingekwea nafac kadhaa katika ranks za Fifa
Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima, Hamis Kiiza, Didier Kavumbagu na Emmanuel Okwi wote ndani kuiweka Tanzania kwenye nafasi nzuri katika rank za FIFA.
Naijua team yangu Kaka...kuna mbadala wa wote hao..
Mbuyu Twite for Juma Abdul,Haruna Niyonzima for Hassan Dilunga,Hamis Kiiza for Said Bahanuzi na Didier Kavumbagu for Hussein Javu....uchofie baadhi kuonekana kuwa hawana nafac kwenye kikoc cha kwanza cha team ya Wananchi hata Aishi Manula alikuwa anaitwa wkt hakuwa na namba kwenye kikoc cha kwanza cha Club yake,amini tu Mkuu kuwa hii team ya Wananchi inge'perform kuliko hii kombania yetu