International Friendly - Namibia vs Tanzania

International Friendly - Namibia vs Tanzania

Mkuu wewe nafahamu vile ambavyo usivyopenda wachezaji ambao sio wa Yanga kuchezea timu ya Taifa, nakumbuka jinsi ulivyokuwa unapinga kwa Frank Domayo na Simon Msuva kuitwa timu ya Taifa kabla hawasajiliwa Yanga, sijui hadi sasa una msimamo ule ule au kwa sababu walihamia Yanga sasa ni sawa kuwa timu ya Taifa?

Unajua Kaka mm ni mfuac mkubwa wa BRN (big results now) sasa by tht tym Msuva na Domayo walikuwa wachanga sn..ndo kwanza walikuwa wamechukuliwa kutoka ile under 20 kwakweli nikiri tu kuwa nilipinga lkn kupinga kwangu hakukutokana na kuwa walikuwa hawajasajiliwa na Yanga bali ilikuwa ni kwa ugeni wao na kukosa udhoefu kwenye mashindano ya kimataifa ni kama vile nilivyokuwa napinga kipindi kile Maximo akizunguka tu na Tegete ambaye alikuwa ashasajiliwa na Yanga,ni vile tu kautaratibu hako haki'apply Dunia nzima lkn team hii ya Wananchi ya kipindi hiki ingeweza kutupa BRN nzuri,iko vizuri sn
 
Naijua team yangu Kaka...kuna mbadala wa wote hao..
Mbuyu Twite for Juma Abdul,Haruna Niyonzima for Hassan Dilunga,Hamis Kiiza for Said Bahanuzi na Didier Kavumbagu for Hussein Javu....uchofie baadhi kuonekana kuwa hawana nafac kwenye kikoc cha kwanza cha team ya Wananchi hata Aishi Manula alikuwa anaitwa wkt hakuwa na namba kwenye kikoc cha kwanza cha Club yake,amini tu Mkuu kuwa hii team ya Wananchi inge'perform kuliko hii kombania yetu

Ukitoa hao kweli kuna timu hapo? Jaribun hata kuwapumzisha siku moja muone IMPACT YAKE
 
Magoli yote ya mchezo yamefungwa na wachezaji wa Namibia..

Stars ambayo ilitangulia kupata bao dk ya 89 kuelekea dk ya 90 kwa mchezaji Emilio Martin wa Namibia kujifunga mwenyewe.

Kwenye dakika za majeruhi Namibia wakafanikiwa kusawazisha bao hilo kupitia kwa Penduleni Nekundi.

Mkuu nimeangalia highlights hapa naona goli la stars ni shuti la Mcha lile lilijaa kwenye nyavu ndogo na sio goli la kujifunga.
 
Jamal Malinzi,

Kweli bora utuambie kitu gani kimefanya Kazimoto aitwe Stars? Si ni huyu mchezaji alitoroka ?
 
Jamal Malinzi,

Naomba kuuliza swali mheshimiwa.

Hivi kwanini hatufanyi maamuzi magumu tukatafuta wachezaji wa under 19 wawe ndio Taifa Stars twende nao hadi mwisho tukitegemea matokeo baadae huko mbele.
 
Kwa hii sare kuna uwezekano mkubwa wa kutuporomosha katika ranking za FIFA. Namibia wako nafasi ya 124 na sisi nafasi ya 116 ikionesha kuwa sisi ni bora kuliko wao. Kwa matokeo haya inawezekana tukaporomoka nafasi kadhaa kuwafuata na wao wakapanda nafasi kadhaa kutufuata mwisho tutakutana somewhere chini ya 116 na juu ya 124.

Yametimia Tanzania imeporomoka kwa nafasi moja sasa ni ya 117 badala ya 116 (source: The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com).
 
Back
Top Bottom