Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,722
- 4,317
Last edited by a moderator:
Iraq 3 china 1
Dk 45 HT
Namibia 0 - 0 Tanzania
mmmh!hizi updates zinakuja taratibu!sidhani kama huu mpira utaisha leo!
waooooooo!nani kapiga kitu mkuu!Dk 90+
Namibia 0 - 1 Tanzania
kweli mkuu sijui tumebaki wawili tu!Uzi hauna wafuatiliaji kama ilivyo mechi zetu za ndondo za VPL...
FT
Namibia 0 - 1 Tanzania
mkuu kwenye hii link mbona wanasema 1-1FT
Namibia 0 - 1 Tanzania
FT
Namibia 1 - 1 Tanzania
mkuu kwenye hii link mbona wanasema 1-1
Namibia vs Tanzania - International Friendly 2014-03-05 Live Streaming - Online Football TV
FT
Namibia 1 - 1 Tanzania
Ni goli la kujifunga, yaani mchezaji wa Namibia kajifunga...Mfungaji nani mkuu? Ushindi huu utafuta doubts zote za kutimuliwa Kim!!