Mkuu kwa nini hujiulizi kwamba sababu gani ilifanya wachezaji wa Yanga wakaondolewa kwenye timu ya Taifa.Rainford Kalaba yuko ndani ya kikosi cha Zambia dhidi ya Uganda,Emma Okwi,Hamis Kiiza yuko ndani ya kikosi cha Uganda dhidi ya zambia leo.Kwanini Tanzania haina Ulimwengu na Samatta dhidi ya Namibia?
Mkuu ukiifuatilia link hii hapa chini inaonesha kuwa TFF ilishamuelekeza Kim afanye maandalizi ya mechi ya leo...
allAfrica.com: Tanzania: Stars Face Namibia On Fifa Date
Ndio maana nauliza kwa nini basi msingelisubiria hadi mechi hii ambayo ni muhimu kwa viwango vya FIFA ipite kwanza, ndiposa mfanye mchakato wa kuvunja mkataba na Bw. Poulsen.

57' rsa 0 - 3 bra
Asante kwa matokeo Mkuu, Tanzania na Namibia ngapi ngapi?
dk 90 rsa 0-5bradk 80 rsa 0 - 4 bra