Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Interior decors hao wako vizuri katika uchaguzi wa rangi, mpangilio na design hasa za furniture
Hii taaluma haijaingia sana bongo lakinihata waliopo hawajitangazi vizuri ili watu wajue kwamba kuipanga nyumba au ofisi ni fani inayosomewa na ndio maana utaona tofauti kati ya nyumba iliyopangiliwa na wataalam na iliyopangiliwa kienyeji

