Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
- Thread starter
- #21
You're welcome........and so, i did.
You're welcome........and so, i did.
Vipi tena mimi Mpolish..??Go compare the market .com .......mkuu wewe Mpolish nini ??
Mkuu Inaltiora umesema vzr ktk post yako lkn nina maswali kidogo nataka kujua zaidi juu ya uwezo alionao mwanadamu.Karibu.
Uwezo alionao binadamu hauna mipaka, mtoto anapozaliwa anakuwa na uhalisia kwa sababu anakuwa hana mawazo na ndo maana ukimchunguza mtoto mara nyingi anakuwa very fun kwa sababu kuna kitu anataka kukifanya ambacho aliki plan kabla hata hajazaliwa lakini kwa bahati mbaya pengine wazazi wake kwa kutokujua watamfokea na kumkataza na kuanza kumpa mafundisho ya hapa duniani. kadri mtoto anazidi kukua mind yake inaanza kupata vitu vingi kulingana na elimu anayoipata hapa duniani. Wakati huo huo kuna kuwa na ugumu wa connection na consciousness.Mkuu Inaltiora umesema vzr ktk post yako lkn nina maswali kidogo nataka kujua zaidi juu ya uwezo alionao mwanadamu.
Je mtoto anapozaliwa huwa ana akiri anazozaliwa nazo au akiri ni matokeo ya Elimu,Malezi anayopewa na wazazi wake,Jamii inayomzunguka pamoja na vitu anavyoviamini ?
Kama mtoto huzaliwa na akiri,je malezi,imani,hisia pamoja na mazingira aliyokulia mtoto huathiri vp akiri yake?
Nijuavyo mimi mtoto huzaliwa na uwezo mmoja tu nao ni kujua kunyonya na hafundishwi,vitu vingine vyote hufundishwa akiwa hapa duniani swali je malezi na mafundisho ndio humfanya mtoto mmoja awe tofauti na mwingine au uweo wa ubongo alionao ndio humfanya awe tofauti na mwingine?
Una lipi la kusema kuhusu utafti uliosemwa hivi karibun kuwa wamama wenye Matako makubwa pamoja na Mapaja manene kuzaa watoto wenye akiri kulinganyisha na watoto wanaozaliwa na wamama wembamba?
Ni hayo tu mkuu natanguliza shukurani za pekee kwako na kwa wanajukwaa wengine.
Karibu.
IQ inapimwa kulingana na knowlege uliyonayo na vitu constructive ulivyofanya lakini tukija kwenye uhalisia "man is one tenth conscious.Mkuu asante kwa naelezo yako mazuri na mwanana.
Pamoja na naelezo yako mazuri nina swali la kuongeza pia.
Kauna hii kitu inaitwa IQ Intelligenty Quotienty hupimwaje na je nami naweza kujipima nikajua nina IQ kiasi gani?
Je kuna uhusiano wowote kati ya watu wenye kichwa kikubwa yaani ubongo mwingi na watu wenye vichwa vidogo yaani ubongo kigodo na inteligent yake?
Je ni vitu gani kama wazazi na jamii nzima inayomzunguka mtoto mchanga ili aweze kuishi na uharisia wake aliozaliwa nao?
Unazungumzia nini kuhusu mtoto kurithi akiri za wazazi wake yaani uwezo wa akiri alionao mtoto ukihusisha na wazazi wake?
NB, kurudi kwenye uhalisia wako sio mtoto mchanga tu hata kijana, mzee unatakiwa u practice inner composure or tranquility.Mkuu asante kwa naelezo yako mazuri na mwanana.
Pamoja na naelezo yako mazuri nina swali la kuongeza pia.
Kauna hii kitu inaitwa IQ Intelligenty Quotienty hupimwaje na je nami naweza kujipima nikajua nina IQ kiasi gani?
Je kuna uhusiano wowote kati ya watu wenye kichwa kikubwa yaani ubongo mwingi na watu wenye vichwa vidogo yaani ubongo kigodo na inteligent yake?
Je ni vitu gani kama wazazi na jamii nzima inayomzunguka mtoto mchanga ili aweze kuishi na uharisia wake aliozaliwa nao?
Unazungumzia nini kuhusu mtoto kurithi akiri za wazazi wake yaani uwezo wa akiri alionao mtoto ukihusisha na wazazi wake?
.Intelligence is the inborn capacity to see, to perceive. Every child is born intelligent, then made stupid by the society. We educate him/her in stupidity. Sooner or later he/she graduates in stupidity.
Intelligence is a natural phenomenon-just as breathing is, just as seeing is. Intelligence is the inner seeing; it is intuitive. It has nothing to do with intellect, remember.
Never confuse intellect with intelligence, they are polar opposites. Intellect is of the head-it is taught by others, it is imposed on you. You have to cultivate it. It is borrowed, it is something foreign, it is not inborn.
But intelligence is inborn. It is your very being, your very nature.
Inaltiora.
IQ is just one part. There is lots of aspects for developing total intelligence. But going to school as we do now or not going to school and live as we live now, I'd better cultivate the stupidity at schools than the one at home.Sure! Myself i have to measure the IQ of one by seeing on s/he daily activities or rationale