una opiniona zaidi kwa jinsi walivyokuwa pia wanadadavua na sijatoa kuwa naungana nao kwa 100% ,but hizo ni trial study walitaka kuzifanya pia...Haya mkuu nikipata muda nitakutafutia why environmental factors matters Ila for now huo mtandao uliotoa hauna credibility saaana as una opinions instead of facts ...ingia Psych info [emoji23], second km umeisoma yote inakubali environmental factors zinachangia as ukiwaweka watoto intelligent kwenye stimulated convo ndivyo unavyokuza uwezo wao sasa huonii umuhimu wa mazingira mpaka sasa?
una opiniona zaidi kwa jinsi walivyokuwa pia wanadadavua na sijatoa kuwa naungana nao kwa 100% ,but hizo ni trial study walitaka kuzifanya pia...
study nyingi zinaangukia kwa 50 % kila mmoja ila neural scientists nao wanabase na 60 by 40 % sasa hapa sijui tuwakubalie watu gani...
🙂🙂
sasa mkuu kwa mfano watoto wanaoscore high wakiwa mazingira magumu na watoto wanaoscore high wakiwa mazingira mazuri unawazungumziaje..??Haya mkuu nikipata muda nitakutafutia why environmental factors matters Ila for now huo mtandao uliotoa hauna credibility saaana as una opinions instead of facts ...ingia Psych info [emoji23], second km umeisoma yote inakubali environmental factors zinachangia as ukiwaweka watoto intelligent kwenye stimulated convo ndivyo unavyokuza uwezo wao sasa huonii umuhimu wa mazingira mpaka sasa?
nimeiexplain zaid kwenye jibu la juu hapo...kuwa tunapima Intelligence kwa kiwango au vigezo vingine zaidi na sio score ya darasani ..naomba nieleweke pliz...Ndio mana post yangu ya kwanza kwenye hii topic nilisema hii debate imekuwepo na itakuwepo...
Most wanasimamia interaction between the two... mimi nasimamia mazingira lol
Wazazi wengi huwaamisha watoto wao wakiona wanafeli na kuwapeleka shule ‘nzuri ‘ na watoto wanascore vizuri kwenye mitihani ya taifa baada ya kupelekwa shule ‘’ nzuri ‘’ sijui utaexplain vipi hio besti ?
sasa mkuu kwa mfano watoto wanaoscore high wakiwa mazingira magumu na watoto wanaoscore high wakiwa mazingira mazuri unawazungumziaje..??
yani mtoto ambaye kasoma Shule ya kata lakini kascore high na Na intelligence kubwa na mwingine kascore High ila kasoma Royola ila ana Intelligence ndogo huoni kuwa Genetically wapo tofauti hao...??
Tatizo watu wanachanganya kati ya Intelligence na knowlege ..narudia tena kusema kuwa Intelligence ni inborn ability to solve the underlying circumstances ila knowledge ni ability that is acquired externally na mara nyingi hii huwa ni short lasting na ndo mana unapopima IQ content ya mtu hatuhusishi mitahani kama watu wanavyofikilia..ukihusisha masomo ya darani tayari unapima knowlege ya mtu...
Sijui kama unatofautisha hilo..kwa hiyo mtoto aliyesoma Feza akiscore 80 ya mathematics tayari mazingira yamemfavour kupata intelligence au yamemfavour kuwa na Knowlege...??
naomba ujue kutofautisha Intelligence inavyopimwa na Knowlege inavyopimwa..
Ndo mana intelligence tunapima kwa maswali mengine kabsaa na siyo mtihani...kama kuna mtu alipima Intelligence kwa mitihani naomba aje aeleze humu na aseme kwann walitumia mtihani...
Huwezi ukasema watoto wa shule za binafsi wana Intelligence kubwa kuliko sait kayumba...hapana ..tena big no...hapo unakuwa unatofautisha acquired ability ya mtu na sio intelligence na ndo mana watoto ambao despite wametika mazingira magumu despite ya kukosa elimu nzuri kwenye IQ spectrum wako juu sana na wanascore vizuri...
Ukijua kutofautisha katima score hizo ndo utajua kuwa intelligence inarithishwa zaidi ..
madamu acha basi ...unataka kusema kuwa Intelligence na knowledge ni the same...??Mmnhhhh mkuu nimekuvulia kofia lol intelligence inakuwa modified through instructions! That is to say through environment!,....website uliyoitoa pale juu imezungumzia Kuwa the more stimulating the environment the more unawajenga intelligent children....Huko shule za Kata kufaulu ni mmoja mmoja ukifuatilia sana ni juhudi binafsi za mtoto mwenyewe na sio Shule!...km unaona ni uongo chukua watoto 50 wa Feza waende kufanya standard test za shule za kata,halafu uchukue tena watoto 50 wa shule za kata upeleke wakafanye tena standard tests za shule ya Feza..halafu ufanye performance comparison between these two cohorts......
Lastly ingawa hakuna knowledge test but I believe IQ na knowledge vinaenda pamoja... huwezi kuwa na Akili Kama huna ability to acquire knowledge...that sounds strange to me lol
madamu acha basi ...unataka kusema kuwa Intelligence na knowledge ni the same...??
mmmh...ha ha mmmh...aise basi kama huwezi kutofautisha kati ya hizo term mbili basi hatutaelewa na mjadala hatafika mwisho...
Intelligence inasimama na part yake na haiwezi kuwa knowlege hata siku moja...
View attachment 928021
nimekuliza swali moja tu...nani alikuambia tunapima Intelligence kwa standard perfomance ya darasani...?? tatizo nimgundua kitu hujaelewa thr difference between the two..Mmnhhhh mkuu nimekuvulia kofia lol intelligence inakuwa modified through instructions! That is to say through environment!,....website uliyoitoa pale juu imezungumzia Kuwa the more stimulating the environment the more unawajenga intelligent children....Huko shule za Kata kufaulu ni mmoja mmoja ukifuatilia sana ni juhudi binafsi za mtoto mwenyewe na sio Shule!...km unaona ni uongo chukua watoto 50 wa Feza waende kufanya standard test za shule za kata,halafu uchukue tena watoto 50 wa shule za kata upeleke wakafanye tena standard tests za shule ya Feza..halafu ufanye performance comparison between these two cohorts......
Lastly ingawa hakuna knowledge test but I believe IQ na knowledge vinaenda pamoja... huwezi kuwa na Akili Kama huna ability to acquire knowledge...that sounds strange to me lol
Uko vizuri nimekuelewa mkuu,big fiveNdio mana post yangu ya kwanza kwenye hii topic nilisema hii debate imekuwepo na itakuwepo...
Most wanasimamia interaction between the two... mimi nasimamia mazingira lol
Wazazi wengi huwaamisha watoto wao wakiona wanafeli na kuwapeleka shule ‘nzuri ‘ na watoto wanascore vizuri kwenye mitihani ya taifa baada ya kupelekwa shule ‘’ nzuri ‘’ sijui utaexplain vipi hio besti ?
naomba unaambie kigezo cha kupima IQ ya mtu au nipe sample za questionare tuone kama Standard score ya marks za darasani zimetajwa ....Isn’t the same but goes hand in hand,umeelewa post yote?? Umepick hapo tu .why??? Inability to acquire knowledge might predicts less intelligence...my opinion!
naomba unaambie kigezo cha kupima IQ ya mtu au nipe sample za questionare tuone kama Standars d score ya marsks za darsani zimetajwa ....
Je unahis score za darasani zinatumiwa kuscore IQ ya mtu...??
the key factor hapa ni kujua kati ya genetics na enveronment ni kipi kina mchango mkubwa...! genetic inabaki ina nafasi yake katika kushape intelligence ya mtu kuliko mazingira na Knoweledge inakuwa shaped zaidi na mazingira kuliko genetically ..hapo ndo tunaweza tukaona mchango wa vitu hivyo viwili kuwa pamoja...Isn’t the same but goes hand in hand,umeelewa post yote?? Umepick hapo tu .why??? Inability to acquire knowledge might predicts less intelligence...my opinion!
sawa...usiku mwema pia..Hapana mkuu sijasema tests za knowledge ndizo za IQ ....usiku mwema tutaendelea kesho Mungu akipenda
madamu acha basi ...unataka kusema kuwa Intelligence na knowledge ni the same...??
mmmh...ha ha mmmh...aise basi kama huwezi kutofautisha kati ya hizo term mbili basi hatutaelewa na mjadala hatafika mwisho...
Intelligence inasimama na part yake na haiwezi kuwa knowlege hata siku moja.
Ndo mana hapo chini ukisoma anakwambia Intelligence borders go beyond with technology ..manake hata kama kutakuwa na elimu ya kumfundisha mtu mazingira yajoje kwa kutumia njia mbadala bado intelligence yake itabaki kuwa na nafasi kubwa sana kiutendaji wa mambo...
Knowledge comes and go but intelligence remains kama sehemu ya kumtofautisha kati yake na mazingira aliyoyakuta japo ukaichilia mchango wa mazingira kwake ambayo ni mdogo na unabeba sehemu ndogo sana ku alter Intelligensia yake..
Hapa Nmekuelewa sana mkuu ..... You are certified great thinkersasa mkuu kwa mfano watoto wanaoscore high wakiwa mazingira magumu na watoto wanaoscore high wakiwa mazingira mazuri unawazungumziaje..??
yani mtoto ambaye kasoma Shule ya kata lakini kascore high na Na intelligence kubwa na mwingine kascore High ila kasoma Royola ila ana Intelligence ndogo huoni kuwa Genetically wapo tofauti hao...??
Tatizo watu wanachanganya kati ya Intelligence na knowlege ..narudia tena kusema kuwa Intelligence ni inborn ability to solve the underlying circumstances ila knowledge ni ability that is acquired externally na mara nyingi hii huwa ni short lasting na ndo mana unapopima IQ content ya mtu hatuhusishi mitahani kama watu wanavyofikilia..ukihusisha masomo ya darani tayari unapima knowlege ya mtu...
Sijui kama unatofautisha hilo..kwa hiyo mtoto aliyesoma Feza akiscore 80 ya mathematics tayari mazingira yamemfavour kupata intelligence au yamemfavour kuwa na Knowlege...??
naomba ujue kutofautisha Intelligence inavyopimwa na Knowlege inavyopimwa..
Ndo mana intelligence tunapima kwa maswali mengine kabsaa na siyo mtihani...kama kuna mtu alipima Intelligence kwa mitihani naomba aje aeleze humu na aseme kwann walitumia mtihani...
Huwezi ukasema watoto wa shule za binafsi wana Intelligence kubwa kuliko sait kayumba...hapana ..tena big no...hapo unakuwa unatofautisha acquired ability ya mtu na sio intelligence na ndo mana watoto ambao despite wametika mazingira magumu despite ya kukosa elimu nzuri kwenye IQ spectrum wako juu sana na wanascore vizuri...
Ukijua kutofautisha katima score hizo ndo utajua kuwa intelligence inarithishwa zaidi ..
Hahaha sio Vita ni majadiliano tu haya , hakuna vikombe JF, Ushindi ni kuelewa tu.Mnhhhhhhhh
Watakuelewa tu usijali mkuu..sawa...usiku mwema pia..
Ha ha ha ha ila kupitia mjadala wao ndio tunazidi kuelewaHahaha sio Vita ni majadiliano tu haya , hakuna vikombe JF, Ushindi ni kuelewa tu.