mkuu kwani watoto wa chupa IVF babies ndo wanakuwa katika muda wote wakiwa kwenye chupa..??Hahaha hili swala la sorrogate mothers linaweza kulisha swali langu la taahira aliyebakwa na kuzaa mtoto mzima, sijui huyu mama ana mchango gani ikuwa embryology ikiishatokea kinachofuata ni mesenchymal cell differentiation mpaka kuzaliwa?! Vipi watoto wa chupa yaani IVF baby wanapata wapi vichocheo hivi kutengeneza brain zao ikiwa zaidi ya 6 weeks w ako nje mama?!
Na ndo mana tunasema Intelligence ni multifactorial governed continuum..inaweza ikaathiliwa na CPH4 akiwa mtoto ndani ya tumbo la mama yeke pamoja na Mutation za genes zinzohusika na transportation ya specific hormones kwa ajili ya utengenezaji wa specific neural transmitter..Shukran mkuu, umeongelea factor mbali mbali zinaweza kuleta hayo matatizo ya vichocheo vya kulisha ubongo kukosekana na kuleta hizo mental disability. Na vipi haya ma chromosomal disorder, kama mutation na mengine kwenye hii inteligency issue. Sijui ni gene gani zina husika kutengeneza bongo zetu, lakini hii brain ina tokana na gene pairing during meiosis kama sikosei, na sayansi ya embriology haisemi ni nini au genes zipi zinaunda ubongo au sijui ndio akili, wao husema tu viungo mbali mbali hutengenezwa during differentiation ya mesenchymal sterm cells, humo ndimo hutokea deletions, invertion, translocation na mengine hadi tuna pata hayo ma disabilities mbalimbali.
Sasa swali langu, hivyo vichocheo sijui ni hormones au nini vinaweza kuponyesha chromosomal disorder kama vitazalishwa kwa wingi kuulisha ubongo ambao tayari una configuration defects/disconfigured au niseme ubongo ambao hau kukamilika una miss kitu, au kuna kitu zaidi ndani yake?! Could be mutational factors, Na je ubongo ulio kamilika kimuundo, lakini haukupata hivi vichocheo kabisa unaweza kufunction sawa?! Maana naanza kuchanganyikiwa ikiwa normal brain ndiyo akili au akili ni hivi vichocheo?! Sijui utanielewa maana hata mimi napotea sasa.
ni hatare sana ndugu...ulimwenguni unaenda mbio sana...ukitaka kufuatilia ujenzi wa project kubwa kubwa kama za madaraja makubwa zinasimamiwa na ma contractor ambao uwepo wao kama human being unaleta uatata kidogo( they dont feel human being ability to feel pain,emotion etc but they resemble with human being by color,race as well as interacting ideally with normal human being na hata ikitokea ndani ya ujenzi kuna hitilafu pengine daraje au jengo limeporomoka na kuua watu basi kupotea kwao mara nyingi serikali zao zinakuwa hazina hasara sana kwani inakuwa ni cloned replica ya wale maengineer wakubwa ambao wao wanakuwa wako huko majumbani kwao wakila raha tu. .Nadhani hii ya cloning kafanyiwa pia Kanye West maana kichwa chake siku hizi pia ma star wa kubwa ni ma cloning ka kina Oprah nilisoma hizi habari za cloning zikanichaganya Ila ufafanuzi wako umenifunua akili
Kwa kweli ni hatari sana maana hyo cloning inakuwa ka si viumbe vya kikawaida vina nguvu zaidi yetu binadamu za kawaida. I think hii dunia sisi binadamu wa kawaida tunajua vtu limited sana, I think hata hizi technology zinagunduliwa na viumbe visivo vya kawaida.ni hatare sana ndugu...ulimwenguni unaenda mbio sana...ukitaka kufuatilia ujenzi wa project kubwa kubwa kama za madaraja makubwa zinasimamiwa na ma contractor ambao uwepo wao kama human being unaleta uatata kidogo( they dont feel human being ability to feel pain,emotion etc but they resemble with human being by color,race as well as interacting ideally with normal human being na hata ikitokea ndani ya ujenzi kuna hitilafu pengine daraje au jengo limeporomoka na kuua watu basi kupotea kwao mara nyingi serikali zao zinakuwa hazina hasara sana kwani inakuwa ni cloned replica ya wale maengineer wakubwa ambao wao wanakuwa wako huko majumbani kwao wakila raha tu. .
Inashangaza sana hii technologia..
Okay nashukuru kwa mchango wako boss ila nimeambatanisha hapo tafiti za kisayansi zinazosema 50% ya akili za "mtu mzima" zimerithiwa kutoka kwa wazazi wake na zilizobaki ndio makuzi,mazingira,uzoefu,elimu,maarifa n.k je unazungumziaje hizo tafiti?? Umeona udhaifu wowote kwenye hayo maoni yao utushirikishe?.Me naona analogy ya akili, ni sawa na kusema sigara zina sababisha kansa. Hatuwezi kusema sigara zinasababisha kansa moja kwa moja kuna watu wamevuta miaka nenda rudi na wapo poa, lakini sasa kuna wengine kweli chanzo cha kansa yao ni sigara!!! Kwa hyo hakuna jibu kamili
Akili siamini kama ni ya kurithi, mazingira unaweza ukapewa mazuri tu na bado ukawa lofa, na unaweza ukawa na mazingira mabaya tu na uwezo wako wa akili ukawa vizuri. Kwa hiyo siamini kama mazingira ni chanzo, na akili si za kurithi!!! Watu wanaweza pewa mazingira sawa ila mmoja akawa na akili kuliko mwenzake. Nina amini tuna akili sawa ila tunatofautiana u "sharp' wa akili. Kwa hyo hakuna jibu kamili
sasa mkuu unapinga kuwa hili swala halipo....?Lakini mkuu lifecoded na wengine mniwie ladhi, nimeona watu wakichangia kuhusishwa watawala na akili nyingi au sijui IQ kubwa. Mi napinga sana dhana hii. Sio leo hata watawala wa zamani. Kama akili ni biological factor inauhusiano gani be haya mautawala/watawala au politics?!
Hata hii dhana aliyogusia lifecoded kuhusu cloning nakubali ipo lakini ku mclone mtu na kipata double yake sikubaliani na hili, kwa uelewa wangu mdogo, hata ma embryologist hawa jui process ya defferentiation during human or any life ina entail nini, wanafahamu gene paring in theory lakini process hawawezi kui control, sasa wanawezaje ku control making adouble of any body?! Embryo ni muungano wa sperm be ovum, ukute mama au baba wa huyo genius intended waliishafariki hawa kuhavest mayai yao leo wanayo product the said genius, how can they clone without sperm and ovum of origin?! Double ni copy ya the intended person tunayaona kwenye movie lakini sikubali hii kuwa possible scientifically.
Transplant za viungo zinawezekana kama facial na organ mbali mbali lakini sio complete human being from embryo to a full grown man. Sioni how this can possibly be, memory deletion is possible but how can they plant memory of a different person in another, does this mean brain in space kama computer unaweza kuogeza vitu?! Anyway maswali mengi naanza kujichanganya.
Maoni yako binafsi huwa uko upande gani mkuu ....Nature VS nurture debate sidhani kama lishawahi kuwa resolved...kila Mtu ana wazo lake na ana evidence to support it
Maoni yako binafsi huwa uko upande gani mkuu ....
Okay nashukuru kwa mchango wako boss ila nimeambatanisha hapo tafiti za kisayansi zinazosema 50% ya akili za "mtu mzima" zimerithiwa kutoka kwa wazazi wake na zilizobaki ndio makuzi,mazingira,uzoefu,elimu,maarifa n.k je unazungumziaje hizo tafiti?? Umeona udhaifu wowote kwenye hayo maoni yao utushirikishe?.
Pia mkuu umegusia kuwa wanadamu tuna akili sawa ila twatofuatina u-sharp?? Je ushapu huo wa akili unapimwaje??
Karibu tuwekane sawa hapo
mi nitapinga kwa nguvu zote kuwa Enveroment ndo imachangia kwa kiwango kikubwa kuliko genetics unless otherwise stated oposite..Kuscore different kwenye IQ scale Kwangju ni Prove tosha Kuwa mazingira yanachangia sababu without environment tusingekuwa na small variability kwenye IQ scale,TUNGEKUA NA ONLY TWO differences;those who score high na those who scores low...kuna kitu nataka kuongea ila nashindwa...hope mmeelewa lol
mi nitapinga kwa nguvu zote kuwa Enveroment ndo imachangia kwa kiwango kikubwa kuliko genetics unless otherwise stated oposite..
Unajua intermidiate Intelligence inkuja kwa sababu ya Enveronmental factors kuliko Genetically zaidi...!
consider about Identical twins waliozaliwa pamoja ila wakalelewa katika mazingira tofauti pale unakuta Intelligent content huwa inapungua kidogo kulingna na mazingira subjected...
Sijui lakini kama unaelewa mchango wa genetic katika hili...
Everything is nothing without genetic bases ...
Inheritance bado inachukua nafasi kubwa snaa
sawa lakini ukiambiwa between genetic and enveronment iko wapi inaplay part kubwa sana kwenye ku alter intelligence ya mtu...?? wewe kama wew utasemaje hapo regardless tunaona kuwa Intelligence imekuwa guided na multifactorial continuum...??Mkuu umejisoma lakini??unapinga environment inachangia at the same time unatoa mfano wa twins studies ,kuwa twins wanaoshare genetic makeup wanakuwa different kutokana na mazingira waliyolelewa,,,,
Mfano Wangu nilikua namaanisha Kama variables ziko mbili kuwa intelligent ama stupid,then ingekuwa ni nature peke yake Watu wangescore between these two scales , inter individual varies because there’s environmental influences,,mimi ndivyo ninavyodhani pia
sawa lakini ukiambiwa between genetic and enveronment iko wapi inaplay part kubwa sana kwenye ku alter intelligence ya mtu...?? wewe kama wew utasemaje hapo regardless tunaona kuwa Intelligence imekuwa guided na multifactorial continuum...??
ipi unaipa nafas kubwa...??
ha ha ha sawa mkuu mimi binafsi nasimamia kwenye genetics kuwa na influence kubwa sana kuliko enveronment na ningeipa 60% genetocally zaidi na enveronment nikaipa 40% ...Km unaniuliza nasimamia wapi nadhani nishasema pale juu kuwa mimi kwangu ni environment!kwangu mimi 60% ni mazingira na 40% ndio kurithi ...msemo wa mtaani ‘’Kuishi bongo[Dar] ni chuo tosha ‘’ kwa nini wanasema hivyo?heheee
Asante mkuu naomba nielewe au tuelewe pamoja chromosome ina elles ambazo ndio location ambamo ndio genes hukaa, na sijui nachanganya au napotea, DNA strand iko ndani ya genes au DNA strand ina harbour chromosome?! Nilikuwa nadhani genes ndio DNA stand lakini ulivyoeleza nikaanza kupotea. Gene inayotengeneza hizi neural transmitter ikiathirika ubongo unakosa virutubisho,Lakini niliuliza ubongo ambao una unakasoro kimuundo ukipata hizi CPH4 unaweza kufunction normal?! Kwa hiyo akili ni hizi CPH4 au napotea mkuu?! Au Neuro transmitters(synapses) zikiwa nyingi na akili inakuwa kubwa au ni uwezo wa synapses ku transmitt hizo chemical through ndizo zina determine akili?! Mi nilidhani kama ilivyo kwa kidney kwamba binadamu wote tuna idadi sawa ya nephrones kwenye kidney, hivyo hivyo kwenye brain tuna idadi sawa ya neurons, kwamba huu uwezo tofauti wa kuelewa inatokana na training exposure ya individual aliyoipata kutokana malezi. Kwamba kama ulipata trainibg nzuri utaelewa sana, kwa maana nyingine mazingira yana form understanding ya mtu kwa vitu regardless of their genetical makeup zao. Maana magenious wako kila sehemu na kada tofauti, huoni hii issue ya akili sio genetical bali ni ya kimazingira mtu uliyokuwa subjected in your early year of your growth?! Hivi mzee wa miaka 60 genius unaweza kumtrain kitu kipya kigumu na akaelewa na kukimaster kama mtoto mdogo?!Na ndo mana tunasema Intelligence ni multifactorial governed continuum..inaweza ikaathiliwa na CPH4 akiwa mtoto ndani ya tumbo la mama yeke pamoja na Mutation za genes zinzohusika na transportation ya specific hormones kwa ajili ya utengenezaji wa specific neural transmitter..
Kwa hiyo mama anaweza zalisha CPH4 chemikali za kutosha lakini genes inayohusika na utengenezaji wa transporter ya chemikali hizo ikawa under mutation hence process nzimq kufell na kupelekea undesired product kutolewa...
Kwa hiyo everything in the body ni gene factor dependant na ndo mana wenzetu kupitia Nanotechnology wataweza kufikia sehemu ya kuscan kwanza DNA strand nzima kwanza ili kubaini abnormal genes mtu alizonazo kabla ya kumfanyia cloning(replical creation) ili huyo replica anayezalishwa asije kuwa ame inherit abnormal genes nae kama alivyo recipient wake( Kumbuka cloning unatoa the same au replical wa original being..
kwa Hiyo pengine human cloning ya baadae itaenda kutoa modifid replical compared na recipient ...kwa hiyo hence kupunguza chance ya inheritance ya bnormal genes kutoka kwa recipient kwenda kwa clone..
So effects ya gene mutation au chromosomal mutation alteration itaendelea kuwepo hata kwa replical kwa sababu kinachotoleqa ni of the same effects ..
halafu haimanishi kuwa mtu akipata gene alteration as well as mutation tayari Intelligence yake inakuwa ndogo. .hapana..inategemea na aina ya gene iliyopata hitilafu,kama gene inayohusika na transportation ya hizo amino acids specific with neural formation ndo imepata hitilafu hata replica nae atakuwa na abnormality vile vile...kikubwa hapa tunapaswa kuelewa kuwa ni gene ipi specific inahusika na Intelligence ?? sasa kumbuka ni multiple genes( Allele) penginr ndo zinagovern hiyo kitu ,ndo mana swala la intelligence linabaki kuwa ni gene factor dependent..
mkuu naomba ieleweke kuwa ubongo hauwezi kuwa normal bila ya hizo genes zinazocontrol formation yake..na ndo mana tunasema kuwa kama kwenye genes zinazohusika na utenegenezaji wa hizo neural circuit manake formation ya ubongo inakwua inakosa vitu flani hence intelligence yake kuwa low..Asante mkuu naomba nielewe au tuelewe pamoja chromosome ina elles ambazo ndio location ambamo ndio genes hukaa, na sijui nachanganya au napotea, DNA strand iko ndani ya genes au DNA strand ina harbour chromosome?! Nilikuwa nadhani genes ndio DNA stand lakini ulivyoeleza nikaanza kupotea. Gene inayotengeneza hizi neural transmitter ikiathirika ubongo unakosa virutubisho,Lakini niliuliza ubongo ambao una unakasoro kimuundo ukipata hizi CPH4 unaweza kufunction normal?! Kwa hiyo akili ni hizi CPH4 au napotea mkuu?! Au Neuro transmitters(synapses) zikiwa nyingi na akili inakuwa kubwa au ni uwezo wa synapses ku transmitt hizo chemical through ndizo zina determine akili?! Mi nilidhani kama ilivyo kwa kidney kwamba binadamu wote tuna idadi sawa ya nephrones kwenye kidney, hivyo hivyo kwenye brain tuna idadi sawa ya neurons, kwamba huu uwezo tofauti wa kuelewa inatokana na training exposure ya individual aliyoipata kutokana malezi. Kwamba kama ulipata trainibg nzuri utaelewa sana, kwa maana nyingine mazingira yana form understanding ya mtu kwa vitu regardless of their genetical makeup zao. Maana magenious wako kila sehemu na kada tofauti, huoni hii issue ya akili sio genetical bali ni ya kimazingira mtu uliyokuwa subjected in your early year of your growth?! Hivi mzee wa miaka 60 genius unaweza kumtrain kitu kipya kigumu na akaelewa na kukimaster kama mtoto mdogo?!
ha ha ha sawa mkuu mimi binafsi nasimamia kwenye genetics kuwa na influence kubwa sana kuliko enveronment na ningeipa 60% genetocally zaidi na enveronment nikaipa 40% ...
lakini pia pitia hapa napo https://www.psychologytoday.com/us/blog/under-the-influence/201204/intelligence-is-not-just-genetic?amp#referrer=https://www.google.com&_tf=From %1$s