Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,101
Vipindi viwili vya miaka mitano kila kimoja ni lazima hata kama tunamuhitaji aendelee?How?
Vipindi viwili vya miaka mitano kila kimoja ni lazima hata kama tunamuhitaji aendelee?How?
Hiyo ya miaka 5 iko ibara ya ngapi?! Maana naitafuta siioni!Hata mimi niliyeishia fom tuu nimeelewa kwamba, kama anaweza kuongezewa muhula mwingine wa miaka mitano basi pia anaweza asiongezewe.
Sasa sijui kigumu kueleweka hapo ni kipi hasa?
What if ilimaanisha kuwa anaweza akafikisha miaka 60 kabla ya muhula wake wa pili?!Sasa mkubwa, hapo si wangeweka tu kwamba ahudumu mihula miwili au mmoja wenye miaka 10?
Tukubaliane tu kwamba imezoeleka hawa CAGs kustaafu wakiwa kwenye nyadhifa zao. Lakini kusema katiba imevunjwa, hapana.
Sijajua ni toleo tofauti nimesoma? La kiingereza linasema ni 65 yaani sixty five na kwenye kiswahili ndio 60.
Vile vile tuzingatie neno reappointment! Kwenye hiyo katiba.
Kuwa eligible ni kuwa una haki au vigezo vya kupata kitu ila haina maana LAZIMA upewe. Mfano Rais baada ya miaka mitano ana haki ya kuwa rais kwa miaka mingine mitano ila SIO LAZIMA kupewa hio miaka mitano.Katiba inasema "na anaweza kuongezewa" au inasema "na ataongezewa"? Kuna tofauti kubwa sana kama mteuaji anapewa uhuru wa kuamua kumuongezea muda au la.
Kwenye katiba inasema "shall be eligible for renewal" na haisemi "may be eligible for renewal", hivi ni vitu viwili tofauti sana. The former implies renewal must be done and the latter implies its optional or not to renew.
If we are to debate intelligently without emotions, it's clear the office of the President is on the wrong here.
nyabhingi Nyani Ngabu
Baada ya kumaliza kuangalia UFC 244 jana usiku, Masvidal vs Diaz for the BMF belt, nikahamia DAZN kuangalia Canelo Alvarez vs Sergei Kovalev.
Hakika jana Jumamosi ya jana ilikuwa siku bomba sana kwa sisi wapenzi wa combat sports.
So you can imagine. I slept late. But thanks to falling back an hour, I got an extra hour of sleep. I woke up kinda late.
Baada ya kuingia JF, nakutana na mada kadhaa za Rais Magufuli kuvunja katiba.
Madai ni kwamba kavunja katiba kwa kumteua CAG mwingine.
Yule aliyekuwepo kamaliza kipindi cha miaka mitano.
Rais kaamua kwenda na mtu mwingine.
Sasa wale anti-Magufuli brigade wamepatwa na hysteria.
Eti Rais Magufuli kavunja katiba.
Unajua bana, saa ingine ukiwa unamchukia sana mtu, hiyo chuki yako ni kama ina-suspend uwezo wako wa kutafakari.
Chuki ni hisia kali. Hisia kali huathiri uwezo wa mtu wa kufikiri kwa mantiki na kiakili.
Ndo hii overreaction ninayoiona hapa.
Guys, intellect over emotions, please.
And for good measure, humility over hubris.
Thank you very much.
Happy Sunday everyone.
Ndo mana nasema huna unachojua kwenye huu mjadalaHiyo maana yake ni kwamba kama una sifa zinazotakiwa au hitajika, unaweza kuteuliwa.
Hilo neno halimaanishi tu kwamba anayepaswa kuteuliwa ni huyo aliyepo kwenye hiyo nafasi.
Katiba inaandika kuwa ni lazima aendelee kwa kipindi cha pili na baada ya hapo hataendelea tena na iwapo atafikisha miaka 60 ndani ya hicho kipindi atastaafu...Assad hajafikisha 60
Wanasheria mtuongize ktk hili Ni kweli kavunja katiba au muda wake uliishapita.Hoja Ni je kulikuwa na umuhimu wa kumteua mwingine wakati aliyekuwapo angewezapewa mkataba mwingine na je aliyeteuliwa alikuwa amepwaya!CAG kawa terminated
Kasome vizuri ibara ya 144 ya katiba
Ndo mana nasema huna unachojua kwenye huu mjadala
I'm failing to see what makes you think you are different than the rest of us...wewe hapa kwa Mapenzi yako kwa Magufuli unafikiri unaongozwa na INTELLECT or EMOTIONS? Obviously ni EMOTIONS, for you never ever see his EVILS, and STUPID blunders!.
Guys, intellect over emotions, please.
I'm failing to see what makes you think you are different than the rest of us...wewe hapa kwa Mapenzi yako kwa Magufuli unafikiri unaongozwa na INTELLECT or EMOTIONS? Obviously ni EMOTIONS, for you never ever see his EVILS, and STUPID blunders!
"Shall" inahusu " eligibility" na sio kuteuliwa tena. Kwamba "automatically" anakidhi vigezo vya kuteuliwa tena kuwa CAG lakini SI lazima ateuliwe.Neno shall kwenye katiba linalazimisha appointment muhula wa pili
Intellect over emotions.Baada ya kumaliza kuangalia UFC 244 jana usiku, Masvidal vs Diaz for the BMF belt, nikahamia DAZN kuangalia Canelo Alvarez vs Sergei Kovalev.
Hakika jana Jumamosi ya jana ilikuwa siku bomba sana kwa sisi wapenzi wa combat sports.
So you can imagine. I slept late. But thanks to falling back an hour, I got an extra hour of sleep. I woke up kinda late.
Baada ya kuingia JF, nakutana na mada kadhaa za Rais Magufuli kuvunja katiba.
Madai ni kwamba kavunja katiba kwa kumteua CAG mwingine.
Yule aliyekuwepo kamaliza kipindi cha miaka mitano.
Rais kaamua kwenda na mtu mwingine.
Sasa wale anti-Magufuli brigade wamepatwa na hysteria.
Eti Rais Magufuli kavunja katiba.
Unajua bana, saa ingine ukiwa unamchukia sana mtu, hiyo chuki yako ni kama ina-suspend uwezo wako wa kutafakari.
Chuki ni hisia kali. Hisia kali huathiri uwezo wa mtu wa kufikiri kwa mantiki na kiakili.
Ndo hii overreaction ninayoiona hapa.
Guys, intellect over emotions, please.
And for good measure, humility over hubris.
Thank you very much.
Happy Sunday everyone.
Intellect over emotions.
Magufuli kavunja vifungu vya katiba vinavyomtaka aunde jopo la uchunguzi ili kumtoa CAG.
Whose courts? Which courts?Well, let Assad go to court then. He has that recourse.
I’d like to see it properly adjudicated there rather than here where everybody has their opinion influenced by something and we seem to make a lot of assumptions.
Whose courts? Which courts?
The same ones that Magufuli dictates to?
Do logic, justice and truth need legal proclamations?
If logic is deemed illogical by a corrupt court, will that proclamatiin turn that logic to illogic?
Does a lie become the truth because the courts said so?
Were the injustices of apartheid South Africa just, because the South African courts deemed them the law of the land?
What about Jim Crow laws?