Intel just dropped a 22-core CPU...

Intel just dropped a 22-core CPU...

Labda nichukue fulsa hii kusema haya ili ubishani au huu ubishi uishe.....mada hii wakati inaanza kama omesoma pale juu mkuu ameanzisha usi unaosema intel waachia processor yenye speed kubwa kwenye soko yenye core 22......lakini mkuu cheaf mkwawa akasema hiyo processor sio kubwa ni ndogo inashindwa na core i7.....hapo ndipo chanzo cha ubishi ulipoanza....mimi nikamuuliza wewe na kampuni ya INTEL nani anajua kuliko mwenzake....haya wadau kosa langu nini hapo au nimeongea kitu gani kibaya?
Una bahati saaana sikujui.

Nimekufuatilia vizuriii majadiliano yako nkagundua wewe ni punguani wa head
 
Mtoto Wa Kuku Leta Hoja Acha Hadithi Nyiiiingi.

Huwa Mtu Anayetumia Busara Ktk Kujibu Maswali Anaonekana Yupo Right Hata Kama Yupo Wrong.

Mimi Naamini Mleta Uzi Kachemka, Sasa Mtoto Wa Kuku Leta Mchango Wako Kitaalamu Tukuunge Mkono Maana Wewe Umekiri Unajua Kuliko Mleta Uzi.

Nasubiri Mchango Wako Mtoto Wa Kuku.
hapana mleta uzi hajachemka yupo usahihi kwa upande wake na mimi nipo sahihi kwa upande wangu ngoja nieke wazi hapa,

hio xeon ni powerfull kwa kazi zake yaani server, kwenye workstation, wanaotengeneza movies proffesional nk sababu ina core nyingi.

ila kwa matumizi ya kawaida kama games, kubrowse internet nk pamoja na matumizi ya kiofisi kama autocad na cad nyengine i7 ni bora zaidi sabau ina core zenye nguvu zaidi ya xeon.
 
Labda nichukue fulsa hii kusema haya ili ubishani au huu ubishi uishe.....mada hii wakati inaanza kama omesoma pale juu mkuu ameanzisha usi unaosema intel waachia processor yenye speed kubwa kwenye soko yenye core 22......lakini mkuu cheaf mkwawa akasema hiyo processor sio kubwa ni ndogo inashindwa na core i7.....hapo ndipo chanzo cha ubishi ulipoanza....mimi nikamuuliza wewe na kampuni ya INTEL nani anajua kuliko mwenzake....haya wadau kosa langu nini hapo au nimeongea kitu gani kibaya?
hapana sijasema hayo maneno soma post yangu ya kwanza na kuendelea nimeeka matumizi ambayo i7 ni bora na si yote
 
hapana mleta uzi hajachemka yupo usahihi kwa upande wake na mimi nipo sahihi kwa upande wangu ngoja nieke wazi hapa,

hio xeon ni powerfull kwa kazi zake yaani server, kwenye workstation, wanaotengeneza movies proffesional nk sababu ina core nyingi.

ila kwa matumizi ya kawaida kama games, kubrowse internet nk pamoja na matumizi ya kiofisi kama autocad na cad nyengine i7 ni bora zaidi sabau ina core zenye nguvu zaidi ya xeon.
Mimi nafikiri katika hili nimelimaliza....siitaji tena mabishano.
 
Kama processor ni za generation moja cires zake zinafanana! Hakuna cha cores zake zina nguvu kuliko nyingine mfano ukichukua xeon e5 v3 na core i7 5xxx ni sawa sababu zipo generation moja. Advantage iliyonayo i7 ni overcloclocking
 
chief mkwawa ni one of the best IT expert kwa hapa JF..nmemfaham mda na nlikuwa nafatilia thread zake...when i see his comments i admire it.....wewe MTOTO WA KUKU inaonekana huelewi kinachoongelewa hapa ....yaani huelew kabisa kiongoz wangu...ila nlichopenda kutoka kwako una ubavu yaani hushindwi kitu hata kama hujui...
 
Kama processor ni za generation moja cires zake zinafanana! Hakuna cha cores zake zina nguvu kuliko nyingine mfano ukichukua xeon e5 v3 na core i7 5xxx ni sawa sababu zipo generation moja. Advantage iliyonayo i7 ni overcloclocking

at same clock na generation moja zipo sawa na upo sahihi ila angalia hio cpu.

1. ni broadwell na sasa hivi tupo skylake hapa kuna kama 5% ipc advantage

2. hii yenye core 22 inarun at 2.2ghz wakati base clock ya i7 6700k ni 4.0ghz na unaweza kui overclock hadi 4.8ghz kirahisi na kama una liquid cooling inazidi hapo kuna kama 118% advantage.

hivyo hapo tunaongelea kama asilimia 120% advantage kati ya hio i7 na xeon kwenye single thread.
 
1459875771723.jpg
1459875804047.jpg
 
hapana mleta uzi hajachemka yupo usahihi kwa upande wake na mimi nipo sahihi kwa upande wangu ngoja nieke wazi hapa,

hio xeon ni powerfull kwa kazi zake yaani server, kwenye workstation, wanaotengeneza movies proffesional nk sababu ina core nyingi.

ila kwa matumizi ya kawaida kama games, kubrowse internet nk pamoja na matumizi ya kiofisi kama autocad na cad nyengine i7 ni bora zaidi sabau ina core zenye nguvu zaidi ya xeon.
True Mkuu Nilitaka Jamaa Aje Na Hoja Si Maneno Mengi.
 
at same clock na generation moja zipo sawa na upo sahihi ila angalia hio cpu.

1. ni broadwell na sasa hivi tupo skylake hapa kuna kama 5% ipc advantage

2. hii yenye core 22 inarun at 2.2ghz wakati base clock ya i7 6700k ni 4.0ghz na unaweza kui overclock hadi 4.8ghz kirahisi na kama una liquid cooling inazidi hapo kuna kama 118% advantage.

hivyo hapo tunaongelea kama asilimia 120% advantage kati ya hio i7 na xeon kwenye single thread.
Since when does a 20% overclock translate to 20% performance increase? Aside from synthetic benchmarks or benchmarks for apps no one cares about or uses I would like to see a 20% performance increase on paper.
 
mkuu 4.8ghz na 2.2ghz ni difference asilimia ngapi? soma clock speed za hio xeon
 
Na pia kumbuka sio xeon zote ziko locked zipo ambazo zina unlocked multiplier na zina oveclock mfano E5-1650, 1660 and 1680 zipo unlocked, V1, v2 and V3
 
hapa tunaongelea xeon hio yenye core 22 na sio hizo zenye core chache na ipc kubwa
 
Why this matters, or not: Does the average consumer really need 22 cores? No. In fact, most people don’t even need a quad-core machine. That’s starting to change as DirectX 12 games lean more heavily on cores, but even still, you can simply appreciate this for what it is: an awesome amount of compute cores packed into a CPU.
 
Back
Top Bottom