MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,729
- 4,999
Ndo maana nasema una matatizo kwenye akili yako....umesahau tunachobishania...haaa haaa haaa haaaa kazi kweli kweliusiwaingize intel kwenye sintofahamu yako kama kitu hujui usiwasingizie intel. nimekwambia uonyeshe sehemu intel aliotoa claim kuwa xeon ni bora kwa games au kitu chochote nilichosema post ya kwanza umeshindwa kuthibitisha. nimekupa sababu kwanini i7 6700k ni bora kuliko xeon yoyote kwenye matumizi ya kawaida pia umeshindwa kuzipinga hizo sababu, umekazania intel wamesema hivi mara wamesema vile tupe link mkuu na ushahidi kuwa intel kweli wamesema hayo maneno na sio wewe umeyatunga kichwani.