Install whatsapp katika simu zote s40 java.

Install whatsapp katika simu zote s40 java.

Syntax

Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
38
Reaction score
12
Jamani kwa msaada wa wenzangu wale mnaotumia simu za nokia s40,ambapo mmejaribu kuinstall whatsapp na ikawa inafail,ni kwamba njia nyingine ni hii hapa.

1.uwe na memory card
2.s40 phone
3.whatsapp installer file.
Download hapa

https://m.box.com/view_shared/4gl36umvyl8sp53ot1oz

faili linakuwa ktk mfumo wa zip.download file hilo ktk memory card kwanza,then,kama mafaili yameingia kwa vipande,vipande, tengeneza faili moja na uweke files hizo ktk faili hilo then,

kisha nenda ktk menu ya simu,fungua applications, nenda ktk memory card,locate faili la whatsapp na uliweke ktk games au collection,rudi kwny memory card futa lile faili ,then anza kutumia.

Nimejaribu ktk nokia 6300,imewezekana.
 
ntaleta Feed back hapa!! maana Now Sna S40 Mpaka Kesho!! ila Eka Vzur Hyo Link Maana Imekua Kavuu
 
nimeijaribisha kwenye asha 200 imekubari lakini nimetumia link nyingine kuidownload link yako nlipo download nkaweka imezingua. Thanx for the tip
 
Weka link uliyotumia, mimi nina nokia c3,mwanzo nilikuwa natumia huduma ya watsap vizuri ila mwanzo mwa july lakini ss hivi nikiingia inagoma inahitaji upgrading nimejarbu lakin imefeli nimeamua kuifuta kabisa,nisaidieni wadau
 
Jamani kwa msaada wa wenzangu wale mnaotumia simu za nokia s40,ambapo mmejaribu kuinstall whatsapp na ikawa inafail,ni kwamba njia nyingine ni hii hapa.

1.uwe na memory card
2.s40 phone
3.whatsapp installer file.
Download hapa

https://m.box.com/view_shared/4gl36umvyl8sp53ot1oz

faili linakuwa ktk mfumo wa zip.download file hilo ktk memory card kwanza,then,kama mafaili yameingia kwa vipande,vipande, tengeneza faili moja na uweke files hizo ktk faili hilo then,

kisha nenda ktk menu ya simu,fungua applications, nenda ktk memory card,locate faili la whatsapp na uliweke ktk games au collection,rudi kwny memory card futa lile faili ,then anza kutumia.

Nimejaribu ktk nokia 6300,imewezekana.

Msaada kwenye n70 wakuu
 
nimeshndwa i download kabisa!vp iko expired au nini shida?!
 
Mkuu heshima kwako....mimi natumia nokia E61i nimejaribu kuistall whassap mpaka nimechoka naomba muongozo wako...natanguliza shukrani kwako
 
NJIA RAHISI
1. Look for anyone that make use of WhatsApp on his/her Phone.

2. Their is a way one can copy App on Nokia Phone, Copy the App to his Phone Memory.
3. Insert your Own Memory Card into the Person Phone and paste the WhatsApp App you copied earlier to your own memory card.
4. After that, Remove your memory card and insert back to your own phone.. [No Installation needed], The App will auto work.
Note:- You can use this Trick to Install WhatsApp to all nokia s40 Phones that is not Officially Supported by WhatsApp Inc.

Wale wakudownload click hii link hapo chini.
http://wasconet.com/downloads/whatsapp for Nokia Java s40 including dualsim.zip
 
Mkuu lakini si kwa s40 zote, only S60V3 nakuendelea, kwa mfano nokia 3230 ni s40 phone lakini haiwez kuinstall whatsap sababu ni s60v2
 
Nina Tecno N3 kila nikifungua whatsapp inaleta ujumbe huu Adjust date. wakati saa na tarehe zipo ktk GMT +3 zipo ok.
 
Wakuu wengine tupo empty sana kwenye haya mambo ya electronics,unaposema simu zote za s40 hatuelewi kitu...Asha 200 inakubalika?
 
Oyo mbona na click iyo link then nashndwa kuelewa .kama vp 2wekee apo s40 ni zip?
 
mkuu cjakuelewa hapo kwenye red!

Mkuu kuna generations tofauti za hizo nokia s40 devices, kuna generation ya zamani ambayo ni ya simu kama nokia 3230, 3410 nk. Ambazo haziwez kukubali whatspp mkuu
 
Nina Tecno N3 kila nikifungua whatsapp inaleta ujumbe huu Adjust date. wakati saa na tarehe zipo ktk GMT +3 zipo ok.

Ifute hiyo iliyopo then ingia menu kwenye play store itafungua google play then nenda kwenye top free or top new free utaipata hyo watsappl finally install upya!Kuna vng sn hapo km viber,instagram,skype n.k
Nunua kifurush kwanza
 
Back
Top Bottom