Install whatsapp katika simu zote s40 java.

Nisaidieni hapa, mi natumia Nokia N72, nimejaribu kudownload hii;
WhatsApp Messenger Free Download for Nokia N72 ili nitumie whatsapp kwenye simu yangu, tatizo nikijaribu kuinstall inaniletea ujumbe huu; "File Corrupted" je, hii ina maana gani?

Mkuu nokia N72 ni among simu ambazo hazipo compatible na whatsapp, hata ukiangalaia hiyo link inakua siyo from whatsapp official page. Nokia n72 inauwezo wakuinstall java files tu wala sio .sisX. Files
 
poa, nimekupata.
 
Kabla hujaumiza kichwa sana jaribu ku-search thread yenye title hii:
If NOT too late
 
Mi natumia BB,tatizo picha ninazo tumiwa whatsApp zinakataa kufunguka,inaniambia the application whatsapp has attempted to open a connection to location inside the Firewall and outside the firewall which is not alowed by your IT policy,nikilzimisha naambiwa,Sorry whatsApp cannot read this File
CC chief_Mkwawa,na wana IT
 
Inawezekana memory stick imecorrrupt. Jaribu kwenda kwenye settingz za whatsapp alaf kwenye save media chagua device memory badala ya memory card af jaribu kumwambia mtu aku2mie tena and see if it works
 
Nitaleta jb kiongozi
 
Back
Top Bottom