Jinsi ya kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,447
5f8cadf64c2d06f100a7d699eb9b336e.jpg

Je! Unatumia laini mbili kwenye simu moja na unahitaji kuwa na WhatsApp account kwa kila laini? Au unataka kuweka WhatsApp kwenye simu yako ya Android bila kuitoa ( uninstall ) Akaunti ya kwanza ya WhatsApp?

Namna ya kuweka WhatsApp 2 kwenye simu moja.

Kama nilivyokuwa nimekwisha kukueleza hapo juu. Kuna njia nyingi sana za kufanikisha suala hili, lakini hapa nimekuandalia njia ya kwanza ambayo ni rahisi kuifuata. Njia hii ni kwa kutumia application inayoitwa Parallel Space
ebac43376510a67ae2da5d943974bf7c.jpg

1. Kwa kutumia Parallel Space.
Parallel Space ni Application inayopatikana play store na ina uwezo wa kumsaidia mtumiaji yeyote wa Android ku Log-in kwenye akaunti mbili tofauti kwa wakati mmoja kwenye simu yake ya mkononi.

Akaunti hizo zinaweza kuwa ni WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram, Games accounts, Gmails na nyinginezo nyingi.
Hatua za kufuata ili kutumia Parallel Space.

HATUA 1.
Download App ya parallel space.
Ingia Play store, andika "Parallel Space" na search hiyo application kisha i-download na kui-install.

HATUA 2.
Hakikisha umeiweka laini ya pili ambayo unataka kuiunganisha na WhatsApp kabla ya kuendelea na hatua inayofuata.

HATUA 3
Fungua Application ya parallel space uliyoidownload na kuinstall.
Kisha chagua applications ambazo utapenda kuzitumia katika Parallel Space( apps ambazo utaweza ku Log in akaunti ya pili ) ikiwemo WhatsApp.

HATUA 4.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia Accounts mbili za whatsapp kwenye simu yako.

NJIA NYINGINE
Kwa kutumia Application ya OGWhatsApp.

Njia hii ni tofauti kidogo na ile ambayo tumetoka kuiona hapo juu. Huku tutaanza kwa ku-save baadhi ya Files kabla ya kuanza kuitumia Android App ya OGWhatsApp ambayo tutaidownload Playstore.

Fuata Step Zifuatazo.
Step 1.
Ingia WhatsApp, kisha nenda kwenye
42e19f769e84af8ea5d4021b2f797758.jpg

STEP 2.
Futa Data zako za Whatsapp kwa kwenda kwenye
1d77b9b15c5d58bae56f0aa6a09fdf8d.jpg

STEP 3
Rename WhatsApp folder kwa kuliita OGWhatsApp. Ingia kwenye Internal Memory ya Simu Yako, Kisha Tafuta Folder la WhatsApp na kulibadili jina Kutoka WhatsApp kwenda
OGWhatsApp.

Fuata hatua Zifuatazo
A. Bonyeza folder la WhatsApp kwa sekunde 3
Utaona options nyingi zinakuja,
B. nenda kwenye More Kisha
C. Rename
2e908834da0ac2aca2656ce31653d1e3.jpg

Baada ya kubonyeza Rename, badili jina na kuweka OGWhatsApp kama inavoonekana hapa chini kisha Save .

STEP 4
Ondoa ( Unistall ) whatsApp kutoka kwenye simu kwa kufuata hatua hizi,

5. Download OGwhatsapp
kisha install kwenye simu yako. ifungue OGwhatsapp kisha andika namba yako ya whatsapp ambayo ulikuwa unaitumia kwenye ile uliyoifuta.

6. Download WhatsApp kutoka playstore halafu install kisha weka namba nyingine ambayo unataka kutumia kwenye whatsapp tofauti na ile ya mwanzo
mpaka hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kuweka whatsapp mbili kwenye simu yako

Cc :mkwawa
 
Pia unaweza kuwa na zaidi ya hizo mbili...
Kuna GB whatsapp, GB whatsapp+ na GB whatsapp3

Vilevile zipo zinazokuja na whatsapp mbili mbili mfano

Yo whatsapp wanazo mbili
FM whatsapp wanazo mbili
OG whatsapp wanazo mbili
FA whatsapp wanazo mbili
MG whatsapp wanazo mbili

Unaweza ukaona ni namna gani unaweza kuwa na idadi kubwa ya whatsapp tofauti, pia hizo ambazo sio official zina features nyingi zaidi ya official...
Tapatalk Cloud - Downlaoad File Screenshot_20170513-145311.png
 
5f8cadf64c2d06f100a7d699eb9b336e.jpg

Je! Unatumia laini mbili kwenye simu moja na unahitaji kuwa na WhatsApp account kwa kila laini? Au unataka kuweka WhatsApp kwenye simu yako ya Android bila kuitoa ( uninstall ) Akaunti ya kwanza ya WhatsApp?

Namna ya kuweka WhatsApp 2 kwenye simu moja.

Kama nilivyokuwa nimekwisha kukueleza hapo juu. Kuna njia nyingi sana za kufanikisha suala hili, lakini hapa nimekuandalia njia ya kwanza ambayo ni rahisi kuifuata. Njia hii ni kwa kutumia application inayoitwa Parallel Space
ebac43376510a67ae2da5d943974bf7c.jpg

1. Kwa kutumia Parallel Space.
Parallel Space ni Application inayopatikana play store na ina uwezo wa kumsaidia mtumiaji yeyote wa Android ku Log-in kwenye akaunti mbili tofauti kwa wakati mmoja kwenye simu yake ya mkononi.

Akaunti hizo zinaweza kuwa ni WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram, Games accounts, Gmails na nyinginezo nyingi.
Hatua za kufuata ili kutumia Parallel Space.

HATUA 1.
Download App ya parallel space.
Ingia Play store, andika "Parallel Space" na search hiyo application kisha i-download na kui-install.

HATUA 2.
Hakikisha umeiweka laini ya pili ambayo unataka kuiunganisha na WhatsApp kabla ya kuendelea na hatua inayofuata.

HATUA 3
Fungua Application ya parallel space uliyoidownload na kuinstall.
Kisha chagua applications ambazo utapenda kuzitumia katika Parallel Space( apps ambazo utaweza ku Log in akaunti ya pili ) ikiwemo WhatsApp.

HATUA 4.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia Accounts mbili za whatsapp kwenye simu yako.

NJIA NYINGINE
Kwa kutumia Application ya OGWhatsApp.

Njia hii ni tofauti kidogo na ile ambayo tumetoka kuiona hapo juu. Huku tutaanza kwa ku-save baadhi ya Files kabla ya kuanza kuitumia Android App ya OGWhatsApp ambayo tutaidownload Playstore.

Fuata Step Zifuatazo.
Step 1.
Ingia WhatsApp, kisha nenda kwenye
42e19f769e84af8ea5d4021b2f797758.jpg

STEP 2.
Futa Data zako za Whatsapp kwa kwenda kwenye
1d77b9b15c5d58bae56f0aa6a09fdf8d.jpg

STEP 3
Rename WhatsApp folder kwa kuliita OGWhatsApp. Ingia kwenye Internal Memory ya Simu Yako, Kisha Tafuta Folder la WhatsApp na kulibadili jina Kutoka WhatsApp kwenda
OGWhatsApp.

Fuata hatua Zifuatazo
A. Bonyeza folder la WhatsApp kwa sekunde 3
Utaona options nyingi zinakuja,
B. nenda kwenye More Kisha
C. Rename
2e908834da0ac2aca2656ce31653d1e3.jpg

Baada ya kubonyeza Rename, badili jina na kuweka OGWhatsApp kama inavoonekana hapa chini kisha Save .

STEP 4
Ondoa ( Unistall ) whatsApp kutoka kwenye simu kwa kufuata hatua hizi,

5. Download OGwhatsapp
kisha install kwenye simu yako. ifungue OGwhatsapp kisha andika namba yako ya whatsapp ambayo ulikuwa unaitumia kwenye ile uliyoifuta.

6. Download WhatsApp kutoka playstore halafu install kisha weka namba nyingine ambayo unataka kutumia kwenye whatsapp tofauti na ile ya mwanzo
mpaka hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kuweka whatsapp mbili kwenye simu yako

Cc :mkwawa
hii app unaweza kuitumia hata ukawa na account ii za JF?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom