insect collecting

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
hivi kuna mtu yeyote mwenye ufahamu wa shughuli hii?
Hii shughuli inahusiana na ukusanyaji wa wadudu amabao usafirishwa kwenda ulaya na kule utumika katika mashule, vyuo na sehemu mbalimbali kama specimen.
Sasa swali langu ni kwamba je inahitajika kibali chochote ili mtu aweze safirisha wadudu na kama kipo je ni wapi kinatolewa na gharama zake ni zipi?
Je usafirishaji wake ukoje?
Naomba mtu mwenye uelewa wa suala hili anipe maelezo.
 
ni kweli kuna watu wanafanya biashara ya lab specimen (organisms). Wale organisms huwa wanafugwa kitaalam under intensive care i.e kupata matibabu na chanjo mbalimbali and most of are infertile... huwa kuna mbegu maalum na si kuokota okota maporini... c'se kufanya hivyo kutasababisa madhara ya kiafya kwa wanafunzi wakati wa dissection.. mfano panya wa nyumbani anasababisha ugonjwa wa tauni..

kwa tz panya mmoja wa lab si chini ya 2000/=
 
Wajua nimekuuliza hivyo kwakuwa nimekuwa nikiona kwenye african forum guide wazungu wengi toka u.k na germany wakitafta watu wa kusupply insects from africa na nimeshawasiliana nao kama wawili. Wao wanataka insects from anywhere sio wa kufugwa lakini sema tu wanatoa vigezo kidogo mfano asiwe kaharibika au kachomoka mbawa au miguu vitu kama hivyo.
 
Jinsi ya kukata na kusafirisha ni sawa na kusafirisha twiga. Nenda wizara ya maliasili na utalii utaelekezwa.
 
Jinsi ya kukata na kusafirisha ni sawa na kusafirisha twiga. Nenda wizara ya maliasili na utalii utaelekezwa.

Hata nikisafirisha nzi niliowaokota/kusanya dampo nitahitaji kibali kweli !!!!!!!!!!!

Wadudu ni maliasili, kibali ni lazima.
 
Na ili kupata kibali ni lazina uwe na leseni ambayo hutolewa mara moja kwa mwaka
 
Kwanza unakata capture toka wizarani, ambayo unaipekeleka wilaya husika kuripoti then unakamaa,
halafu unalata ownership
then unamalizia na trophy
 
asante kwa michango yenu hii issue iko complicated zaidi ya nilivyo ifikiria
 
Back
Top Bottom