Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo


Unataka like na comment za watu zikumwagike ww tu.....Diamond ni mfanya bihashara wa muziki sio muuza sura.kaona chance kaingia mzima mzima Dogo ni mpambanaji!
 
Certified hater
kaka kuhate star ambaye kila akiamka anazidi kuwa star ni kujipa mzigo usio stahili na hayo mambo hufanywa na watu stress zao.

hapa ukweli ni kwamba Yope original version ni kali mnoo hadi Daimond ametamani kuwa sehemu ya nyimbo hiyo ndiyo akaomba ikafanyika remix ili kuingiza vipande vyake , au unataka kusema diamond kashiriki kwenye nyimbo ambayo hajaipenda???
 
Hoja yako sasa ni ipi!?
 
Yubano nikakati,nzobano nikakati. 🎵🎵🎵🎵🎵🎵......Yubano nikakati,nzobano nikakati🎵🎵🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎼🎼🎼🎼🎹🎹🎹🎹🎹................
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Endeleeni kusubiri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtateseka sana safari hii
 
umenena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…