Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 26,046
- 47,578
Hahaaaaa hahaaKuna kinanda kitamu sana kwenye hii beat, kwa wale mabaharia unaweza jikuta hubanduki kwenye papuchi maana ni mwendo wa kukojoa mwanzo mwisho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa hahaaKuna kinanda kitamu sana kwenye hii beat, kwa wale mabaharia unaweza jikuta hubanduki kwenye papuchi maana ni mwendo wa kukojoa mwanzo mwisho...
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Certified haterSasa Kwenye hii Yope Diamond ndiyo kamuheshimu Innos B kwasababu ya kipaji chake hadi kautamani wimbo wake ungekuwa ndiyo kauimba yeye hadi ikabidi aombe remix na kiukweli huyo dogo Innos B amepewa lift kubwa sana diamond kupromote nyimbo yake.
kaka kuhate star ambaye kila akiamka anazidi kuwa star ni kujipa mzigo usio stahili na hayo mambo hufanywa na watu stress zao.Certified hater
Hoja yako sasa ni ipi!?kaka kuhate star ambaye kila akiamka anazidi kuwa star ni kujipa mzigo usio stahili na hayo mambo hufanywa na watu stress zao.
hapa ukweli ni kwamba Yope original version ni kali mnoo hadi Daimond ametamani kuwa sehemu ya nyimbo hiyo ndiyo akaomba ikafanyika remix ili kuingiza vipande vyake , au unataka kusema diamond kashiriki kwenye nyimbo ambayo hajaipenda???
Innos B ni mkali na Yope ni kali mnoo hadi the msanii wa kimataifa Diamond Platnumz ameomba ifanyike remix na yeye awe sehemu ya nyimbo hiyo.Hoja yako sasa ni ipi!?
Sawa Sawa..Innos B ni mkali na Yope ni kali mnoo hadi the msanii wa kimataifa Diamond Platnumz ameomba ifanyike remix na yeye awe sehemu ya nyimbo hiyo.
Diamond ni hatari sana na anajituma kwelikweli, hana mpinzani. Ningependa nione live performance(voice and instruments) ya huu wimbo siku moja.
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Unaweza ukatupatia ushahidi unaoonyesha Diamond kuomba ashirikishwe?Innos B ni mkali na Yope ni kali mnoo hadi the msanii wa kimataifa Diamond Platnumz ameomba ifanyike remix na yeye awe sehemu ya nyimbo hiyo.
kazi njema mkuu.Unaweza ukatupatia ushahidi unaoonyesha Diamond kuomba ashirikishwe?
Huu wimbo original umetoka mwezi Mmoja uliopita ila umekaa wiki tatu uka ukiwa na views laki moja tu YouTube.
ila toka imetoka remix ambayo diamond ameingiza vipande vyake humo sasa nyimbo zote mbili yope original toka juzi hadi Leo inaviews 1.7na yope remix ndani ya siku mbili in views 1.5..
Hii maana yk nn ni kwamba diamond ndio kaupaisha huo wimbo na kumpaisha huyo onnos'b ndani ya siku tatu tu.
Inshort wasanii wa east, central na south of Africa wanatakiwa kumuheshimu diamond Sana huyo mtu anawashabiki damu anaweza kukufanya ukashine within a hour tu hii ni hatari...
Tena kaiharibu mm naona