kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,120
- 24,396
Gen Z wapo Live huko mtandaoni wanashusha nondo kupitia Live ya "Nuruvazi" ya instagram ukiingia instagram search "Nuruvazi"
Maandamano kesho yapo kama kawaida
Kumbe alikimbilia Singida baada ya tarehe 29? Singida ndo chimbo na kimbilio la vigogo wa serikali kikiwaka.
Nitakua nawaletea outlines na point zilizoibuliwa kwenye Live