Umenikumbusha sana,Kwani lazima kutoka?Nikiwa University nilikuwa ninakwenda sana Revolution square. Na kunji nilikuwa ninapiga maana yule mwanafunzi Mganda alikuwa mstari wa mbele.Yaani wale wahamasishaji tulipiga kunji nao.Tulitoka nao yaani.Sasa huyu Nuruvaz anasema tutoke yeye yupo nyuma ya Laptop huko German. Ma mama e
cry moreWe hadhi yako ni kuangalia tamthilia za azam na kuliwa na waarabu
Yule malaya Maria ndo anashikia watu akili za taarifa zake za Abunuwasi 🤣🤣🤣🤣🤣Live ya kipumbavu.Mijitu inayosema kesho tutoke ipo Ulaya huko na Marekani .Halafu inatuambia tukusanyikie mnazi mmoja ,?Kariakoo.Yenyewe itaungana nasi kwa ungo au.Pu mbavu .Et "tutoke" wakati wewe upo New York. Ma mae.
We mzee umejishushia sana heshima, saivi unaonekana takataka tu na hayo maandishi yako
Kaka umeanza kulipwa Toka lini 😀😃
Watekaji ni wao wao tuliowapa madaraka ya kutulinda.Ulinzi ungekuwa hivi siku zote utekaji isingekuwepo
Kikwete alijua kuua uhuru wa wanafunzi kipindi chake..Ndo kipindi chake viongozi wa Daruso walikoseshwa meno.Umenikumbusha sana,
Unajua kule rev sq wamepanda maua hadi kule bookshop..
Hapana.Ninachukia uongozi wa Samia wa kujipa.Ila nilipoanalyse na kuona hatuna uwezo wa kumtoa as far as vyombo vya ulinzi dola vyote vipo nae.Nimeamua kusubiri miaka mitano na kuendelea kupiga kazi .2030 si mbali atasepa.Siku hizi tatu sikuelewi madam au umeanza na wewe kuchukua zile afu saba saba mwanawane😀😃
SitasahauKikwete alijua kuua uhuru wa wanafunzi kipindi chake..Ndo kipindi chake viongozi wa Daruso walikoseshwa meno.
Sio mbaya wanajeshi nao wafanyie kazi mishahara yao sio kila siku kulala makambini tuuMkuu vyombo vya ulinzi vya Taifa hili ni vya kipuuzi sana. Hata juzi kanali Uwongostino Polepole alipowapiga mkwara walianza kuahangaika mitaani. Mbaga Jr ni shahidi.
Bila ya link inakuwa ngumu hata ukiandika....ukiona watu wanakuambia link badala ya kupoteza muda wewe toa link tuIngia instagram search "Nuruvazi"
Umelipwa sh ngapi?Nasubiri Gen-Inzi Mmoja nimalize kisasi. Ule uporaji waliofanya kwenye biashara ya Anti kariakoo, sintokaa niusahahau. Lazima Nile nyama ya Mtu. Leo tulisubiri kwa hamu. Na hamtaamini mbwa nyie.
Tatzo la kutoa link wengine wanahack wanajua IP address za watu, kitu ambacho.sio salama kabisa ndo maana sitoag link kabisaBila ya link inakuwa ngumu hata ukiandika....ukiona watu wanakuambia link badala ya kupoteza muda wewe toa link tu
Siku hizi simwelewi huyo dogo. Siku chache zilizopita alikuja na thread ya kusupport press za kipumbavu zinazofanywa na mashehe ubwabwa. Sijui ndio ashaingia kwenye ile payroll ya buku 7 pale lumumbaKaka umeanza kulipwa Toka lini 😀😃
Shangaa yeye anakomaa na wananchi TU, hili ni suala lapande 2 serikali ifanye wajibu wake na wananchi wafanyeKaka umeanza kulipwa Toka lini 😀😃
Itakuwa aisee 😀Siku hizi simwelewi huyo dogo. Siku chache zilizopita alikuja na thread ya kusupport press za kipumbavu zinazofanywa na mashehe ubwabwa. Sijui ndio ashaingia kwenye ile payroll ya buku 7 pale lumumba
Vitambi vyao!Sio mbaya wanajeshi nao wafanyie kazi mishahara yao sio kila siku kulala makambini tuu