The nightwalker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,154
- 1,528
kwahisani ya nguvu ya buku 7!Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
kwahisani ya nguvu ya buku 7!Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Siyo mwakani inabid iwe 2030 na wajiandae vya kutosha maana ccm ni sikio la kufaGen Z sasa 0912 imepita. Mmesafirisha watu hadi nje ya nchi kukimbia maandamano yenu ambayo yameandamana hewani. Acheni tufanye kazi sasa tufunge mwaka. Endelezeni mapambano mwakani.
Nimelipwa pakeji hadi 31 decemberkwahisani ya nguvu ya buku 7!
sawa lakini usisahau mods sio wanaccm! Sasa we endelea kurudia maneno yaleyale kwa kila post unayoitoa!Nimelipwa pakeji hadi 31 december
Nadhani hii ndio itakuwa ban ya kwanza tangu nijiunge jfsawa lakini usisahau mods sio wanaccm! Sasa we endelea kurudia maneno yaleyale kwa kila post unayoitoa!