Ingieni live Vijana wanashusha Nondo

Ingieni live Vijana wanashusha Nondo

Wewe coward huna lolote zaidi ya porojo bora ukae kimya....hao unawaowasema hata wangekuwa hapa bongo wako front usingetoka vilevile.....Tundu lissu tu ujawahi kuhudhuria hata mara moja mahakamani.
Kwani lazima kutoka?Nikiwa University nilikuwa ninakwenda sana Revolution square. Na kunji nilikuwa ninapiga maana yule mwanafunzi Mganda alikuwa mstari wa mbele.Yaani wale wahamasishaji tulipiga kunji nao.Tulitoka nao yaani.Sasa huyu Nuruvaz anasema tutoke yeye yupo nyuma ya Laptop huko German. Ma mama e
 
Live ya kipumbavu.Mijitu inayosema kesho tutoke ipo Ulaya huko na Marekani .Halafu inatuambia tukusanyikie mnazi mmoja ,?Kariakoo.Yenyewe itaungana nasi kwa ungo au.Pu mbavu .Et "tutoke" wakati wewe upo New York. Ma mae.
Siku hizi tatu sikuelewi madam au umeanza na wewe kuchukua zile afu saba saba mwanawane😀😃
 
Andamaneni hukohuko
Mkitoka tu na kuharibu Mali na miundo mbinu mtakula za vichwa
Tena wasijichanganye .manina zao.
Waache wawachochee mafala ambao hawana akili waone kitakacho wakuta .
Safari hii wameona wenyewe JESHI lenyewe liko mitaani na MASHINE ZA HATARI.
Pigwa chuma moja ya kichwa mpk wakija kuchukua maiti waseme huyu sio' wa kwetu alikuwa na sura huyu hana .
 
Gen Z sasa 0912 imepita. Mmesafirisha watu hadi nje ya nchi kukimbia maandamano yenu ambayo yameandamana hewani. Acheni tufanye kazi sasa tufunge mwaka. Endelezeni mapambano mwakani.
Walau umewapa heshima sio hawa wahuni wasio ona madhara
 
Kwani lazima kutoka?Nikiwa University nilikuwa ninakwenda sana Revolution square. Na kunji nilikuwa ninapiga maana yule mwanafunzi Mganda alikuwa mstari wa mbele.Yaani wale wahamasishaji tulipiga kunji nao.Tulitoka nao yaani.Sasa huyu Nuruvaz anasema tutoke yeye yupo nyuma ya Laptop huko German. Ma mama e
Umeanza lini Madam? 😅
 
Back
Top Bottom