Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,168
- 143,943
Watu wanafiki kweli humu.
Toka lini mmeanza kujali kuhusu usahihi wa mambo?
Kila siku mpo mnasema Trump kawasema Waafrika wakati si kweli lakini huyo dada kusema hayo aliyosema mmemshikia bango.
Mnatia kinyaa.