Ingia hapa kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.

Bonyeza Hapa --->> Global Peace: Rosemary Odinga needs to apologise to Tanzanians for misleading information

Ms Odinga alikuwa akishiriki programu ya IYLA inayoandaa vijana kuwa viongozi wa baadae, katika kongamano hilo aliiambia dunia Olduvai Gorge ipo Kenya ambao ni uongo uliokithiri hivyo inabidi Rosemary awaombe msamaha watanzania.
 
Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.

Global Peace: Rosemary Odinga needs to apologise to Tanzanians for misleading information

Dunia inajua ukweli, haiwezi kuidanganya Bali ameiambia dunia uongo tu
 
Safi sana
Hii itawafanya hawa Wapumbavu kujipanga kwanza kuongea uongo kama sio kuacha kabisa
 
huo mkutano haukushirikisha Watanzania>
Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.

Global Peace: Rosemary Odinga needs to apologise to Tanzanians for misleading information

Ms Odinga alikuwa akishiriki programu ya IYLA inayoandaa vijana kuwa viongozi wa baadae, katika kongamano hilo aliiambia dunia Olduvai Gorge ipo Kenya ambao ni uongo uliokithiri hivyo inabidi Rosemary awaombe msamaha watanzania.
 
Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.

Global Peace: Rosemary Odinga needs to apologise to Tanzanians for misleading information

Ms Odinga alikuwa akishiriki programu ya IYLA inayoandaa vijana kuwa viongozi wa baadae, katika kongamano hilo aliiambia dunia Olduvai Gorge ipo Kenya ambao ni uongo uliokithiri hivyo inabidi Rosemary awaombe msamaha watanzania.

Mbona sioni.....lete link tufanye mambo.......
 
Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.

Global Peace: Rosemary Odinga needs to apologise to Tanzanians for misleading information

Ms Odinga alikuwa akishiriki programu ya IYLA inayoandaa vijana kuwa viongozi wa baadae, katika kongamano hilo aliiambia dunia Olduvai Gorge ipo Kenya ambao ni uongo uliokithiri hivyo inabidi Rosemary awaombe msamaha watanzania.
hakuna haja ya kusaini popote tusubiri hao vijana wawe viongozi wa baade wakati wanafundishwa na mtu ambaye hata jiografia haijui inawezekana kawapotosha vitu vingi sana
 
huo mkutano haukushirikisha Watanzania>
Umeuliza swali la maana kiongozi...unaweza kuta watanzania walikiwepo kwenye huo mkutano lakini kwa upumbavu wao badala ya kujibu palepale ili kuweka rekodi sawA wanakuja humu na vijimatamko vya kumtaka aombe radhi...tutaendelea kuwa mburura hivihivi...hivi unadhani hata akiomba radhi habari ya kuomba radhi itapata coverage sawa na wakati wa huo mkutano???
 
Kuna habari nimeona kuwa ubalozi wa kenya umeambiwa ujieleze kwa hiyo tuhuma mtu wao hawezi ropoka tu hivi hivi tu kuna mtu kamtuma vile.ila kiukweli wakenya wana wivu sana na tanzania ila mwaka huu akin MK254 imekula kwenu hatucheki na nyani
 
Kwani Muulugo aliomba radhi aliposema zanzibar ni Muunganiko wa zimbabwe na Pemba? Magufuli aliposema rais wa Kuwait ni Sadam hussein aliomba radhi? Jana msemaji wa TTB alivyodai Olduvai ipo manyara huku akijua ipo mkoa wa Arusha ameomba radhi?
 
Aombe radhi kwa kutusaidia kutangaza vivutio vyetu?, jambo la msingi kwanza tumpongeze halafu tuweke utaratibu mzuri ili wakienda Kenya kama wanakuja kuiona Olduvai George basi tupate kodi yetu, kwa sababu kwa vyovyote vile hata wakienda Kenya mwisho wa siku lazima waje tanzania
 
Acheni majingu fanyeni kazi Tanzania itajitangaza kwa sisi kufanya kazi, Kenya wana njia nyingi sana za kujitangza acheni ujinga fanyeni kazi jamaa zangu.

1. Kenya ni moja ya Top 5 kwa riadha duniani wachezaji wao wanabeba medali kila kukicha hiyo tu inatosha kuwatangaza dunaia nzima

2. Shirika lao la ndege lina ruka hadi Ulaya na Asia na mwezi wa tano wanaruka hadi USA sasa hapo unategema nini?

3. Kenya ni nchi ya pili kwa kuwekeza Tanzania yaani wao wamewekza zaidi Tanzania kuliko hata wazungu wana Mabenki kama KCB na Equity bank, wana mashule, wana Mahoteli, Viwanda na kadhalika je sisi tumewkeza nini kwao?

Huu muda wa kupiga majungu fanyeni kazi, tunapenda sana majungu wakati wenzetu wanapiga kazi, Kenya inajulikana sana Dunini kuliko sisi na hiyo sio bahati mbaya bali ni wao wenyewe na vitu kama Riadha inaogoza kuwatangaza nje kimataifa.
 
Ingia instagram @rosemaryodinga uone watanzania wanavyompaka shombo ya matusi huyu dada, mbona atajuta kuwafahamu watanzania

Hilo ndo tunalo weza sisi Watanznia, But mpaka atangaze hivyo ni kwamba tumelala, Kenya wanatuzidi kila idara hilo halina ubishi.

Wao ndo wawekezaji namba mbili Bongo, Je Tanzania tuna uwekezaji gani kwao? wao wachazaji wao wa riadha wanatosha kabisa kuwatangaza na wamefanya hivyo miaka mingi na wao ndo wanaogoza kwa kuitangaza nchi yao.

Sasa tukalia majungu tuone ishu ya utalii bongo kuna mambo kibao yanayo kwaza utalii
 
Hakuna watu Wana pride kama Wakenya na ndugu zao wa Nigéria.... . Hata kama nchi haijatulia. Hauwezi sema Mogadishu ipo Kenya au Tanzania. História wanaijua vizuri sema wanapindisha makusudi.. Hapa ni ku summon Balozi wao na kumpa warning kali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom