Ndege zao bado zinabebwa na majina ya rasilimalizetuAcheni majingu fanyeni kazi Tanzania itajitangaza kwa sisi kufanya kazi, Kenya wana njia nyingi sana za kujitangza acheni ujinga fanyeni kazi jamaa zangu.
1. Kenya ni moja ya Top 5 kwa riadha duniani wachezaji wao wanabeba medali kila kukicha hiyo tu inatosha kuwatangaza dunaia nzima
2. Shirika lao la ndege lina ruka hadi Ulaya na Asia na mwezi wa tano wanaruka hadi USA sasa hapo unategema nini?
3. Kenya ni nchi ya pili kwa kuwekeza Tanzania yaani wao wamewekza zaidi Tanzania kuliko hata wazungu wana Mabenki kama KCB na Equity bank, wana mashule, wana Mahoteli, Viwanda na kadhalika je sisi tumewkeza nini kwao?
Huu muda wa kupiga majungu fanyeni kazi, tunapenda sana majungu wakati wenzetu wanapiga kazi, Kenya inajulikana sana Dunini kuliko sisi na hiyo sio bahati mbaya bali ni wao wenyewe na vitu kama Riadha inaogoza kuwatangaza nje kimataifa.
Hilo ndo tunalo weza sisi Watanznia, But mpaka atangaze hivyo ni kwamba tumelala, Kenya wanatuzidi kila idara hilo halina ubishi.
Wao ndo wawekezaji namba mbili Bongo, Je Tanzania tuna uwekezaji gani kwao? wao wachazaji wao wa riadha wanatosha kabisa kuwatangaza na wamefanya hivyo miaka mingi na wao ndo wanaogoza kwa kuitangaza nchi yao.
Sasa tukalia majungu tuone ishu ya utalii bongo kuna mambo kibao yanayo kwaza utalii
Acheni majingu fanyeni kazi Tanzania itajitangaza kwa sisi kufanya kazi, Kenya wana njia nyingi sana za kujitangza acheni ujinga fanyeni kazi jamaa zangu.
1. Kenya ni moja ya Top 5 kwa riadha duniani wachezaji wao wanabeba medali kila kukicha hiyo tu inatosha kuwatangaza dunaia nzima
2. Shirika lao la ndege lina ruka hadi Ulaya na Asia na mwezi wa tano wanaruka hadi USA sasa hapo unategema nini?
3. Kenya ni nchi ya pili kwa kuwekeza Tanzania yaani wao wamewekza zaidi Tanzania kuliko hata wazungu wana Mabenki kama KCB na Equity bank, wana mashule, wana Mahoteli, Viwanda na kadhalika je sisi tumewkeza nini kwao?
Huu muda wa kupiga majungu fanyeni kazi, tunapenda sana majungu wakati wenzetu wanapiga kazi, Kenya inajulikana sana Dunini kuliko sisi na hiyo sio bahati mbaya bali ni wao wenyewe na vitu kama Riadha inaogoza kuwatangaza nje kimataifa.
acha kutufundisha juu nini tuseme na nini tusiseme,kama unaona ni sawa kukaa kimya bila kutetea kile ambacho ni chetu basi nakupa pole,lkn pia unadhalilisha walimu aliokufundisha (kama umesoma lkn)Acheni majingu fanyeni kazi Tanzania itajitangaza kwa sisi kufanya kazi, Kenya wana njia nyingi sana za kujitangza acheni ujinga fanyeni kazi jamaa zangu.
1. Kenya ni moja ya Top 5 kwa riadha duniani wachezaji wao wanabeba medali kila kukicha hiyo tu inatosha kuwatangaza dunaia nzima
2. Shirika lao la ndege lina ruka hadi Ulaya na Asia na mwezi wa tano wanaruka hadi USA sasa hapo unategema nini?
3. Kenya ni nchi ya pili kwa kuwekeza Tanzania yaani wao wamewekza zaidi Tanzania kuliko hata wazungu wana Mabenki kama KCB na Equity bank, wana mashule, wana Mahoteli, Viwanda na kadhalika je sisi tumewkeza nini kwao?
Huu muda wa kupiga majungu fanyeni kazi, tunapenda sana majungu wakati wenzetu wanapiga kazi, Kenya inajulikana sana Dunini kuliko sisi na hiyo sio bahati mbaya bali ni wao wenyewe na vitu kama Riadha inaogoza kuwatangaza nje kimataifa.
Dusty Fool.dah mnazidi tu kumfanya Rosemary Odinga azidi kuwa maarufu zaidu..petition ya nini sasa...tuacheni mambo ya kivivu...Kwanini na nyie msiende huko mbele muongelee mazuri kuhusu nchi yetu kuliko kupiga mapicha ya instagram...
Hivi unajua kwa nini hilo linatokea? Ni kwa sababu viongozi wenu waliopewa dhamana hawana wafanyalo zaidi ya kulala na kupigania mambo yasiyo na faida kukuza heshima yetu nje kama kung'ang'ania umeya wa Dar.Safi sana
Hii itawafanya hawa Wapumbavu kujipanga kwanza kuongea uongo kama sio kuacha kabisa
Tunahangaika bure wakati kuna watu kila siku ndio kazi zao kuitangaza Tanzaniai!Yaani wanalipwa mishahara na marupurupu kwa hii kazi,wanasomesha watoto na wanalisha familia zao kwa kazi ya kuitangaza Tanzania na maliasili zake!Pamoja na hayo yote hajawahi hata kukununulia bundle au vocha umsaidie ku sign petition..Ilitakiwa tuanze na hao wenye hiyo kazi yao kwanza kabla ya kudeal na mtoto wa odinga!Wafukuzwe kazi kama solution ya kwanza then tuhamie kumtaka ms odinga atengue kauli.Ingia hapa chini kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha kwa watanzania kwa kusema habari za uogo.
Bonyeza Hapa --->> Global Peace: Rosemary Odinga needs to apologise to Tanzanians for misleading information
Ms Odinga alikuwa akishiriki programu ya IYLA inayoandaa vijana kuwa viongozi wa baadae, katika kongamano hilo aliiambia dunia Olduvai Gorge ipo Kenya ambao ni uongo uliokithiri hivyo inabidi Rosemary awaombe msamaha watanzania.
Umaarufu upi labda?dah mnazidi tu kumfanya Rosemary Odinga azidi kuwa maarufu zaidu..petition ya nini sasa...tuacheni mambo ya kivivu...Kwanini na nyie msiende huko mbele muongelee mazuri kuhusu nchi yetu kuliko kupiga mapicha ya instagram...
Bado kidogo watasema na wewe ni wa kwaoKuna habari nimeona kuwa ubalozi wa kenya umeambiwa ujieleze kwa hiyo tuhuma mtu wao hawezi ropoka tu hivi hivi tu kuna mtu kamtuma vile.ila kiukweli wakenya wana wivu sana na tanzania ila mwaka huu akin MK254 imekula kwenu hatucheki na nyani
Hahahaha na kweliiBado kidogo watasema na wewe ni wa kwao
Kwa wale wanaodhani huyo dada hajakosea na wala haitaji kuomba public apology Sijui mnamaana gani!? Au sio watanzania!? Hivi kama we ni mwanaume tena umekamilika umsikie mtu kwa makusudi kabisa anasema "mke wako ni wake na wale watoto ni wake na pia hata chakula ana kununulia yeye"...tena anayasema hayo hadharani kwenye halaiki ya watu, kweli utakaa kimya na kusema "tuache majungu"??
Kama aliyoyasema is not such a big deal then why yeye @rosemaryodinga ajivunie kiivyo? Hivi mnajua hata umuhimu wa kuandika historia sahihi kwa eneo sahihi? Au mnadhani maisha yameanza na nyie (kizazi cha sasa) na yataisha na nyie?
Kama sio issue kubwa basi tuanze na sisi kujimilikisha vya kwao tuseme vya kwetu tena hadharani (AU, UN, G7 meetings) halafu tuone ni wapi tutafika! Ujirani mwema ni pamoja na kuheshimiana na kuheshimu mipaka ya wengine!!
**Cha mtu Mavi!!!
Mnampa kick za bure tu huyo upumbavu. Achaneni naye.