Tungehamia jukwaa la siasa na moto wake lazma watarudisha jukwaa letu haraka...Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
"nawaza mambo kwa kina,lakini majibu sina..."
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
Kungekuwa na jukwaa 3,Malalamiko,siasa na Kule kwa wakubwa
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
Umeona? Mtambuzi akiandika ni lazima aandika 1000 words!Hapa sio bure. wameiba PW ya Mtambuzi. Umevunja rekodi kwa thread yenye maneno machache kuliko zako zote.
kule ni lazima uwe na miwani ya jua?bora hata ninunue miwan ya jua nikaweke kambi jukwaa la mwisho kule!
Lakini si ndo mnapenda kusoma hiyo maneno.......................................!Umeona? Mtambuzi akiandika ni lazima aandika 1000 words!
Ila hapa post ya kuanzisha thread kaweka kafupiiii... but katam! lol
Mi ningeenda MMU. Kwangu mimi hakuna tofauti kati ya hii na MMU
Yote chit chat tu, full kujichanganya, full kujiachia! lol
Yani bila miwan naweza pofuka au kukosa ujasiri wa kuangalia zile vitu na kupost!kule ni lazima uwe na miwani ya jua?