Kiba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 459
- 62
Habari anajf.
Ni mara ya pili nafika katika jukwaa hili nikiwa na wazo moja.
Nilikua na uchumba na binti mmoja bahati nimemzidi umri kidogo nimemaliza elimu yangu yeye bado yuko shule Mungu si athumani nikapata ajira .
Dhumuni langu kubwa likawa kumsomesha binti kwa miaka miwili. Mwisho wa siku mwezi wa tano naye kahitimu mipango ikawa mizuri kweli kati yangu naye.
Nikampatia kazi kwa muda hadi post za serikali zitoke mwishoni mwaka huu tukiwa kwenye maandalizi ya yeye kuja mtoto kadata kwa bosi wangu kwenye fb na fb yenyewe ni mimi nimemfungulia . Iliponuka mke wa bosi kajua na kuniambia nikajifanya sijui na yote niliyajua na bado hajafika.
Kwa hapo bosi alinifuata na kuniambia tusameane nikasamehe wangwana.
Tukapanga safari siku 2 kabla ya yeye kuja akaenda muaga mpenzi wake mwingine kwa siri naye akagundua .kwa kweli Dickson alinipigia sm na kunieleza mengi sana lakini sikuamini nikamwambia tu binti usije mimi nitakuja .
Iliniuma sana kwa muda wa mwezi na hadi sasa sijawa na mausiano na binti mwingine ila nataka nifanye jambo hata likinitoa nami will be ok?
Just emagine was you ladies and gentlemen.
Nawakilisha.