We karucee unamoyo mgumu hadi shetan anauogopa duuu,nimruhusu atafute mwanamke mwingine wakati mm nipo,,,!!!wallah ntafunga safari nikampe shida gan..?
Mkuu kuna watu wadhaifu sana kwenye hiyo makitu!!
Haina haja tena ya kukusanyika maana umesharopoka ajenda zake zile zile za utumbo utumbo tu kila siku.Natumai hamjambo na mnajiandaa na w/end Kuweni makini sana maana w/end ina mengi Leo jioni nina ka swali kwenu Hebu fikiria tu kuwa uko kwenye uhusiano ambao ni serious au uko kwenye ndoa Unajua kabisa kuwa mupenzi wako akipata ham ya kubanjuka huwa hawezi kabisa kujizuia,yaani hawezi hata kupata ka usingizi usiku Ikatokea akapata kazi ambayo itamfanya asiwepo mkoani mlipo kwa miezi kama 10 hivi,akaenda huko kuchapa kazi na baada ya miezi mitano anakuambia amezidiwa na ham kiasi kwamba zimepita siku nne hapati hata lepe la usingizi Je,utamshauri nini? Zingatia hali yake na udhaifu alionao kwenye suala hilo!
mh! we mkali hutasikia wivu na vip akisema no string attached but akawa amenogewa akaendeleza kimyakimyaMimi Karucee namruhusu atafute mtu afanye nae mapenzi kwa masharti matatu. 1. Atumie kinga 2. Iwe No strings attached 3. Anihadisie tukio zima.
Raelly?
Will you marry me please ...lol!!!!!!!!!!!!!!
mh! we mkali hutasikia wivu na vip akisema no string attached but akawa amenogewa akaendeleza kimyakimya
mmmh.. sister.. hakika hufai kuwa na mke wangu!!!! hahahaaa!!
bora umshauri atoke tu na mdada mwingine kuliko kucheza na sabuni! hapo ujue siku akija, mshedede utashindwa kusimama!
Mbona sasa hujanifagilia? Maneeeennnaaah.
Somebody once told me am cold, sinaga hisia za kweli but no. Its the opposite. Lets call a spade a spade and not a big spoon. Face reality. Nisivyopenda uongo let me take the bitter truth.We karucee unamoyo mgumu hadi shetan anauogopa duuu,nimruhusu atafute mwanamke mwingine wakati mm nipo,,,!!!wallah ntafunga safari nikampe shida gan..?
Mimi Karucee namruhusu atafute mtu afanye nae mapenzi kwa masharti matatu.
1. Atumie kinga
2. Iwe No strings attached
3. Anihadisie tukio zima.
Ah wapi bwana......unasimama kama kawa....yani nilivyo na wivu na mali yangu afu nijue kuna mwanamke mwingine alipata ninachokipata kutoka kwake....ah bora sabuni aisee...mmmh.. sister.. hakika hufai kuwa na mke wangu!!!! hahahaaa!!bora umshauri atoke tu na mdada mwingine kuliko kucheza na sabuni! hapo ujue siku akija, mshedede utashindwa kusimama!
hahahaaaa!!! karucee unaitaka eennnhh!! ngoja niuandae mamaeeenhh!